Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

wapambe wa lowasa mna siku 42 tu za kucheka,mnashabikia timu ambayo haitaingia nusu fainali,poleni kwa kuabudu dini msiyo jua Mungu wake,
 
kuna mabasi matatu yameondoka saa tatu ucku huu toka hapa Nyerere Square - Dodoma
 

Hayo maneno yenu mtayameza soon hamta amini maamuzi ya CC jina la Lowasa lsipo rudi. Hii nchi haitaweza kuongozwa na fisadi. Hivi kwenye akili yako myu anawakumbatia kina Chenge, Rostam ambao ni wezi wazoefu mtegemee atakuwa rais wa Ranzania?? Hiyo chora hapo chini.
 
Ukiweza kuficha siri ya majizi wenzio ndani ya ccm basi wewe ni kada mzuri mchapa kazi mtu wa maamuzi magumu kila sifa utapewa. Hizo ndizo sifa za Lowasa, kilichomfanya asiwataje 2008 ndicho tutakacho mmaliza nacho
 
Acheni uongo kama ananguvu kiasi hicho mbona huyohuyo Lowasa alimweka Batli Burian agombee Arusha mjini akashindwa pamoja na kumwaga hela akamweka Siyoi Sumari tena mkwe wake pamoja na kutumia pesa nyingi akapigwa chini. Sasa leo hii Arusha kuna wazawa wapya? Angekua anakubalika Arusha kwanini akodi watu toka nje ya Arusha na kuwasafirisha kwa gharama kubwa?
 
Kuonyesha wanavyomuogopa Lowasa na hawataki waTz wamsikie mipango yake maadui wa Lowasa wametumia Tanesco jioni hii kututangazia mitaani kwa gari kwamba kesho hakuta kuwepo umeme tangu saa tatu asubuhi mpaka saa tisa naanza kuona kumbe anafaaa hivi vita si bure.
 
Lowasa hana nguvu kisiasa ila ananguvu ya pesa,kisiasa Mbowe ameshasema ni bubu
 
Hadi tanesco wametumika kuhakikisha kuwa kesho eneo kubwa la Dar halimuoni na kumsikia Lowasa na shaka sana na baadhi ya ving'amuzi navyo masaa yakisogea tu mtaona NO NETWORK
 
Namashaka na mleta mada inavyo onesha si RAIA wa Tanzania nakama ni kweli basi akili yake haitunzu au haina kabisa kumbukumb kuhusu EPA,RICHMOND na ESCROW ebu soma siasa za ulaya mgombea akishakuw na kashfa hata kidogo haruhusi kugombea ila hapa kwetu wezi mafisadi ndio wanao gombea hii inamaanish kuwa kwl watz tunafananishw na kuku kwamba huna kumbukumb
 
Lowasa akikupa pesa we pokea maana alizo iba anazirudish in directly hizo pesa nizako alikutunziaga2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…