Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

Jamani tukubaliane kwa Kauli moja, LOWASSA hazukiliki kirahisi kama mnavyodhani!

Kwa hiyo kwa kuwa hazuiliki CCMajambazi, basi pia hazuiliki kwa wapiga kura mil 20 wa Nchi hii...?!
Kwa hiyo siku hiyo October 25 si tukalale na yeye ataelekea IKULU kiulaiini...
 
Mleta uzi huu kuvuta ile sigara kubwa alafu kaja kuandika utumbo huo humu
 

Mwenyekiti wako alisha toa jina maalumu kwenu la makuwadi,sasa twambie wewe ni kuwadi wa mtia nia yupi?
 

Kumbe na wewe ni kuwadi wa lowasa?
 

Angalia kazi ya ukuwadi ni ngumu sana hasa pale anaposhindwa kufanikisha ukuwadi
 

Waendesha boda boda 100, kutoka kila mkoa,waendesha bajaji 100 kutoka kila mkoa, hao watatosha kuonyesha kuwa lowasa anakubalika hata hivyo mjiandae kulia na kusaga meno pale atakapo shindwa kupitishwa na cc yenu kwani ndio utakuwa ndio mwisho wa ccm na ukawa kujichukulia white house kwa ubweeede kabiisa
 

Mkuu unatisha sana kwa data
 
Lowasa hakuna mtu amemnunua,Tunampenda kwa sababu ni mzalendo.

Angekuwa mzalendo asingeshindwa kukemea rushwa na uonevu dhidi ya raia awapo ndani na nje ya CCM. Pia kuhusu kashifa ya Richmond, asingekaa kimya muda wote hadi aje kuibuka leo anapoutaka urais ndo aseme atatoboa siri. Pia siamini kama ni mzalendo kwasababu ktk team yake yupo na watu wale wale ambao wanashutumiwa kulitafuna taifa kina Nazir Karamagi, Rostam Aziz, Handrew Chenge nk, huwezi kuona hata ukiambiwa!? Kama uongozi wako wa chama ulivyowaita magamba, leo watawasafisha vipi!? Huyu mzee pia ni mtu wa makundi, huoni atagawa asie nacho na kukumbatia walio nacho!? Ogopa kiongozi anayetumia pesa kwenda ikulu. Kama kweli lengo ni kuwatumikia wananchi unasababu gani ya kuwafanyia karamu ili wakupe ridhaa ya uongozi!? Mimi simchukii Lowasa ila nachukia matendo yake ya kupitisha pesa makanisani, misikitini wakati watanzania wanataka maisha bora
 
Mkuu, Jiji lote la Arusha Limepambwa na rangi ya njano na Kijani.. Hakuna dalili ya Chadema hapa mjini

Nani kakwambia kuwa arusha siyo sehemu ya tanzania? Uwanja wa sheikh amri abeid upo pale kibiashara hivyo mtu yeyote analipia na kuutumia,jaribu kutumia anagalau kidogo akili.
 
Mkuu, Jiji lote la Arusha Limepambwa na rangi ya njano na Kijani.. Hakuna dalili ya Chadema hapa mjini

Nipo arusha hapa jiji limejaa mafuso kibao kwa ajili ya kusomba watu toka sehemu mbalimbali kuwaleta hapa jijini.
 

Pitia hapa chini mtumwa weee!!!



https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/859075-dr-wilbroad-slaa-aanza-ziara-nzito-nyanda-za-juu-kusini-new-post.html
 

Maneno manene kweli kweli . VIVA Lowassa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…