Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze


🀣🀣🀣 ni raha sana yakilizwa.

Mara kadhaa nilikuwa nikisema mazuri ya magufuli humu watu wananitukana sana na kusema sijielewi na wakasema mwisho wake ni tar 28 mwezi wa kumi 20220.

Sasa mimi hata CHADEMA wabunge wangeshinda wote ila mimi shida yangu kwenye urais nataka awe Magufuli ili azidi kutunyoosha maana kuna walikuwa na dharau sana na nchi hii wakaifanya kuwa shamba la Bibi.

Magufuli njoo dingi laiii....safari iendeleee.....
 
Mpaka sasa hivi hawana hata mbunge mmoja. Watz wameamua hawataki mchezo mchezo eti mtu mzima kabisa anatuletea kututisha na Beberu lake Robert Amsterdam. Sasa arudi kwa mabwana zake huko Ubelgiji.
 


Ndo tatizo unapa mbinu wanaendekeza bangi
 
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema) wakiambiwa social media platforms sio ballot boxes wanafungulia floodgate ya matusi. Acha wajifunze kwa maumivu makali!
Kuna yule jamaa wakumuita Salary Slip nahisi atajinyonya watu waliokaribu yake wamlinde hali yake sio nzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kazimia huyo pressure inasoma 180/97[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha jamaaa anachoma,
 
Kuna yule jamaa wakumuita Salary Slip nahisi atajinyonya watu waliokaribu yake wamlinde hali yake sio nzuri

Wapo wengi ambao wanahitaji kuwekwa kwenye Suicide Watch. Kwa sababu walipofushwa na ushabiki na mihemko hawakuliona hili likija!
 
Mkuu mbona unakimbilia hali ya uchumi ya mtu binafsi? Hao matajiri unaowataja wanahusika nini na hoja iliyopo mezani? Hiyo inakuhusu nini?
 
Unaposhindwa kujiandaa Basi unakuwa umejiandaa kushindwa

CDM wangekuwa na nafasi kubwa kama wangeungana na Membe kumpa kiti cha uraisi Salum Mwalimu unampiga makamu na unamchukua Lipumba mnatengeneza consolations na yeye kumuweka kama mshauri wengine unawaweka kama wajenzi wa Baraza la mawaziri lengo ni kupata kura nyingi za wagombea ubunge na kupata wabunge wengi bungeni na madiwani.
Chadema/ACT kuwaza uraisi huku hawajawahi hata kuwa na viti 100 bungeni ilikuwa ni wrong move and immature . Wameongozwa kwa mhemko na kujisahau
 
Kwa hali iliyopo nadhani sijui kama litapatikana hata moja
 
Mkuu linda heshima yako kidogo iliyobaki.

Yaani huwa siamini kama umebaki kichwa kitupu, hata kama ni ushabiki mbunge 1 aiseeh
Nadhani Sasa utakuwa umeelewa alie kichwa tupu kati yako, na hiyo uliemquote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…