Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Haaahaaaa umeshajua kuwa wa moja hapati mbili basi unadhani wote. Wajumbe walikunyima kura ukatoka na kura 1 ya kwako. Hakikika kama mwandishi nguli utakuwa na historia ya kipekee sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Waliona IQ yake ni ndogo😂😂😂😂😂
 
Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa.

Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana wakala mmoja au wawili.

Hii inaonyesha vyama vya upinzani havioni umuhimu wa mawakala ila siwalaumu yawezekana ni kwa sababu za kiuchumi.TISS

Nipo JNICC tukiendelea kusubiri matokeo kutoka Tume.

Maendeleo hayana vyama!
Polisi, TISS, JWTZ, NEC; pamoja na watanzania wajingawajinga wote are for ccm election. Why not ccm win 100%
 
Ahaa sasa hata wakikosa mbunge kule kijijini Wazazi wako Baba na Mama wataacha kuvaa kandambili zilizotoboka

Mambo mengine ni vichekesho

Wakipata wabunge wawili wewe ndie utakuwa tajiri kama Barhresa au Mo Dewji

Mkuu kama wewe na ukoo wako ni choka mbaya ni choka mbaya tu

Jaribu kuwasaidia watoto wa ndugu zako kijijini iwe Dada, Binamu au Mjomba

Yaani badala ya kuwaza umaskini wa ukoo wa akina Baptist John wewe unawaza wabunge wa CHADEMA

Kabla ya ubunge wa chadema kwanini wazazi wako hawakuwa matajiri kama Bahresa au Mo Dewji? Miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990

Wazazi wako walikuwa wapi achana na story za CHADEMA ,

CHADEMA ni taasi imemfanya hata mzazi wako leo apate lami na taa kwa kuwatisha CCM
Mkuu naona ilo ngese la Lumumba limeusoma uzi likitokwa na machozi kimya kimya likidhani likiwa kwenye ufalme wa magu ndio itakuwa familia yake nzima.
 
Upinzani inabidi wasipate hata mbunge mmoja,Rais ashinde zaidi ya Asilimia 99 kusiwe na ruzuku kabisa ya Upinzani vyama vyote vife,Tanzania ibaki CCM pekee yake
Hilo neno.
Nakumbuka kabla Hosni hajapinduliwa kule Egypt, kulikuwa na uchaguzi ambao yeye na chama chake walipata 92% of the votes. Few months later akapinduliwa.
ccm mnajitekenya na kucheka wenyewe.
The game is not over yet.
 
Kila kona ya nchi mawakala wa CHADEMA wamezuiliwa kuingia vituoni alafu wewe unasema hawajaweka mawakala! Yaani CHADEMA wameweza kuweka wagombea na kampeni wamefanya tena ya kufaana alafu washindwe kuweka mawakala! To hell with you.
Wakala wetu amekufa Usiku Huu baada ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya
 
Ikiwa ubunge tia maji, tia maji ndio itakuwa huyo Rais wenu wa kwenye ndoto zenu!

Kuna watu wanachukulia mambo kirahisi rahisi sana.

Hatuwezi kuuza Nchi hata siku moja
 
Ungelisema kuwa uchaguzi uliojaa uhuni wa kukataa mawakala ningekukubali. Unakaataaje mawakala wa chama kisha unajidai kushinda uchaguzi
 
Mayala P no mshenzi tu..mtu anajua ethics za uandishi lakini bado anaenda kulamba watu nyayo ili apate yeuzi
 
Mayala bila uteuzi nasikia mke kamkimbia madeni anadaiwa na kili jirani yake Kitaaa ndio maana akagombea ubunge ili ajinisuruk
 
Kwa kweli kwa masanduku na mabegi ya kura zilizopigwa tayari niliyoona, kutokuwepo kwa mawakala vituoni, NEC, Msajili, TISS, Polisi, TCRA, Mamlaka ya Anga, makampuni ya simu, TISS, TCRA, Msajili wa Vyama, vyombo vya habari, makampuni ya simu, CCM kulala na masanduku ya kura baada ya kura za 27 Okt 2020 kule Zanzibar, nk. hata wakipata mbunge/diwani mmoja nitawashangaa CCM (siyo CHADEMA). Itakuwa ni muujiza wa Mungu.
Heri yako umekubali, lakini kwani hamkulinda kura


Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Hakuna uchaguzi kuna maigizo ya uchaguzi kwani CCM imeiba kura zote wamefanya uchakachuaji wa ajabu, hakuna Mtanzania mwenye Akili kawapigia kura CCM bali kuna wizi mkubwa wa kura kwa msaada wa wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm, hakukuwa na haja ya kuwa na uchaguzi wakati Tumeccm NECCCM wanatembea na matokeo mifukoni mwao,
 
No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Huu siyo uchaguzi mkuu bali ni kituko fulani hivi ni kupoteza pesa za walipa kodi bure, magufuli aliwaagiza wakurugenziccm kuwa hawezi kuwapa Gari na mshahara wakurugenziccm kisha asikie kamtangaza mpinzani, wakurugenziccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria bali kwa mjibu wa zidumu zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Ungelisema kuwa uchaguzi uliojaa uhuni wa kukataa mawakala ningekukubali. Unakaataaje mawakala wa chama kisha unajidai kushinda uchaguzi
CCM hawajashinda uchaguzi bali wamebaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom