Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wanapambana lakini wameachiwa wachache pia wananchi wanaona Kama sawa tu hawaoni umuhimu wa Upinzani ngoja turudi kwenye mfumo wa chama kimoja labda wanyonge akili zitatukaa sawa
Kabisa yani watajua kuwa hawajui yani🤣😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Waoneeni Huruma Hawa ni ndugu zetu Maana walitegemea mitandao sasa wanaikimbiaa barabarani hawapo sijui wapi Anganiiii ...Tundu Lissu hatarudia Tena kuwadharau watanzaniiii
Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa.
Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana wakala mmoja au wawili.
Hii inaonyesha vyama vya upinzani havioni umuhimu wa mawakala ila siwalaumu yawezekana ni kwa sababu za kiuchumi.
Nipo JNICC tukiendelea kusubiri matokeo kutoka Tume.
Maendeleo hayana vyama!
Brother nakufatiliga sana toka PPR hadi hapa JF huna makuu kabisa ni mtu poa sana hustahili kutukanwa ,huo ndio utu uzima pole sana.Duh, Duh, Duh...!, haiwezekani!. siamini mpaka tangazo rasmi!.
P
Acha kujishushia heshimaNo watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Kivipi?Acha kujishushia heshima
Mzee mbona pemba kuna mbunge wa upinzanikapita bila kupingwaNo watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
FANYA MAARIFA UBADILI JINA,, UJIITE HATA PASCAL MACCM, PASCAL LUMUMBA, au PASCAL MUSUKUMA,, ikijiita MAYALLA utaendelea kuisha kabisa japo umeshaisha saivi,,ulimdhihaki Magufuli kibabe, yeye akakuita NJAA kauli ikaumba, kila mahala umekataliwa, saivi unampigia magoti na kumlamba miguu angalau akupe chuchote upate kuishi.Its True, ni kweli kauli huumba, na yote usemayo kunihusu mimi na hali yangu ni kweli, ila japo ni kweli kauli huumba, kauli nyingine ni za binadamu tuu, Mungu yupo.
P
Wa chama gani?Mzee mbona pemba kuna mbunge wa upinzanikapita bila kupingwa
ActWa chama gani?
Arusha, Iringa, Mbeya, Tarime Chadema chali!Inasemekana hali ni mbaya! Mbaya zaidi yale majimbo pendwa ...
Ila CCM kuna kila harufu hamna maisha marefu ya kisiasa kama upinzani utatulia.Arusha, Iringa, Mbeya, Tarime Chadema chali!
mm nataka zile kesi ziskilizwe, na ahukumiwe😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Waoneeni Huruma Hawa ni ndugu zetu Maana walitegemea mitandao sasa wanaikimbiaa barabarani hawapo sijui wapi Anganiiii ...Tundu Lissu hatarudia Tena kuwadharau watanzaniiii
Roho mbaya hiyo mkuumm nataka zile kesi ziskilizwe, na ahukumiwe