Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Mbazi ikikosa maua husingizia jua!Kwa kweli kwa masanduku na mabegi ya kura zilizopigwa tayari niliyoona, kutokuwepo kwa mawakala vituoni, NEC, Msajili, TISS, Polisi, TCRA, Mamlaka ya Anga, makampuni ya simu, TISS, TCRA, Msajili wa Vyama, vyombo vya habari, makampuni ya simu, CCM kulala na masanduku ya kura baada ya kura za 27 Okt 2020 kule Zanzibar, nk. hata wakipata mbunge/diwani mmoja nitawashangaa CCM (siyo CHADEMA). Itakuwa ni muujiza wa Mungu.