Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Mawakala wa upinzani wamezuiliwa na Polisi kwenye vituo kwa mda mrefu wakurugenziccm watawatangaza CCM washindi kwa nguvu maana mtukufu magufuli aliwambia hakuwapa Gari na vyeo kwa ajili ya kuwatangaza wapinzani, hukuna uchaguzi kuna maigizo kwani CCM imefanya uchakachuaji wizi wa kura kila mahali
 
Mubaki tu CCM tupu Bungeni mbona napo shega tu ili mradi hamtupi hela za kula kila mtu anatafuta kwa jasho lake
 
Punguani kweli, kuna taasisi ya mtu mmoja duniani?. Genge la wahuni linalojificha kwenye chama cha siasa wapuuzi. Watanzania sio wajinga. Mbowe kawala ruzuku, michango ya wabunge 1.5Mil kila mbunge,mifuko ya majimbo. Kajenga hotels, ma kampuni yake kwa pesa za chama huku kawaacha hata ofisi hamna huo sio utaahira ni nini?. Kajipangeni upya 2040.
 
No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Hujaongelea masanduku na kura bandia zilizo kamatwa sehemu kubwa ya nchi pia mawakala walio ondolewa kwenye vituo pasi na sababu za msingi hebu toa neno kuhusu hilo mdogo wangu paschal mayalla
 
Hata isipopata mbunge mmoja wewe kama CCM utanufaika vipi? Wamepambana wametimiza wajibu wao hata bunge zima likiwa CCM unafikiri ndio mifuko ya watanzania itatuna? Maisha yao yataboreka bila wabunge wa upinzani? Miaka yote hii majority ya wabunge si ni ccm? Nini kimebadilika
Jibu zuri sana hili
 
Kwa kuwa kura yangu ya uRais sikumpa Magufuli, na ubunge sikuwapa CCM, hata wakiiba Mimi najua sitamtambua moyoni mwangu Magufuli Kama Rais wa nchi nzuri ya Tanzania hata mkimtangaza.


Leo nina furaha sana kwa kumchinjilia mbali jiwe.
Hata mimi, na nimempiga chini mchepuko wangu kwa kumchagua Gwajima, mke wangu amefuata masharti yangu amechagua vilivyo bora,.
 
Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa...
Msigwa keshapita.

Mdee keshapita.

Lemma keshapita.

Mbowe keshapita.

Sugu keshapita.

Bulaya keshapita.

Matiko keshapita.

Catherine keshapita.

Niendelee?
 
Msigwa keshapita.

Mdee keshapita.

Lemma keshapita.

Mbowe keshapita.

Sugu keshapita.

Bulaya keshapita.

Matiko keshapita.

Catherine keshapita.

Niendelee?
Umekariri wewe.

Hapa Kawe Gwajima anaongoza kwa mbali kabisa!
 
Ni muda sasa wa yule kibaraka wa wazungu kurudi ulaya na. Wafuadi wake wale mafarao wabaki wakipiga miayo naona hata uzi kila muda wa CDM utayeyuka kabisa walizoea kuandika humu mara ooho Lisu akishinda kwenye kura hawajaenda kituo kingine mgombea anakomea kura moja tu

sent from HUAWEI
Kuandika tu kiswahili unashindwa utakuwa ndo mazezeta yale ya ccm ndugu
 
Back
Top Bottom