Hahaha! Ama kweli mmewabana wapinzani. Nimeamini uchaguzi Tanzania ni wakati wa vote counting! Siyo nyomi ya kampeni ama vote casting.No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi.
P
Nimejaribu kunukuu haya maneno toka kwenye uzi wako fulani hivi Pascal Mayalla. Kila nikiona rafu uzi wako huo naukumbuka.