mwanakwetuu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 407
- 817
Ccm wanadhani chadema ndo adui yao mkubwa mnajidanganya sana yawezekana ni kweli wasipate mbunge hata mmoja unadhani madhara ni ya mbowe? Lissu ? au sugu? ,tunaenda kuzika rasmi muhimili wa bunge cz wakibaki ccm wenyew itakuwa ni ndiooooooooo kwenda mbele,naililia Tanzania yangu tukutane 2025