DuhAhaa sasa hata wakikosa mbunge kule kijijini Wazazi wako Baba na Mama wataacha kuvaa kandambili zilizotoboka
Mambo mengine ni vichekesho
Wakipata wabunge wawili wewe ndie utakuwa tajiri kama Barhresa au Mo Dewji
Mkuu kama wewe na ukoo wako ni choka mbaya ni choka mbaya tu
Jaribu kuwasaidia watoto wa ndugu zako kijijini iwe Dada, Binamu au Mjomba
Yaani badala ya kuwaza umaskini wa ukoo wa akina Baptist John wewe unawaza wabunge wa CHADEMA
Kabla ya ubunge wa chadema kwanini wazazi wako hawakuwa matajiri kama Bahresa au Mo Dewji? Miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990
Wazazi wako walikuwa wapi achana na story za CHADEMA ,
CHADEMA ni taasi imemfanya hata mzazi wako leo apate lami na taa kwa kuwatisha CCM
Mkuu linda heshima yako kidogo iliyobaki.
Yaani huwa siamini kama umebaki kichwa kitupu, hata kama ni ushabiki mbunge 1 aiseeh
Paskali Political analystHahaha! Ama kweli mmewabana wapinzani. Nimeamini uchaguzi Tanzania ni wakati wa vote counting! Siyo nyomi ya kampeni ama vote casting.
Nimejaribu kunukuu haya maneno toka kwenye uzi wako fulani hivi Pascal Mayalla. Kila nikiona rafu uzi wako huo naukumbuka.
Hata kama chama kimoja hakina wakala, uwepo wa mawakala kutoka vyma vingi husaidia kuweka uwazi wa matokeo. Kwa mfano kama CHADEMA haikuwa na wakala lakini CUF, ACT, NCCR etc wakawa wameweka mawakala, tayari hiyo inatosha kuondoa usiri wa matokeo. CHADEMA haitapata wabunge siyo kwa sababu ya mawakala bali ni kwa sababau za sera zao na muundo wao. Hawana sera zinazowagusa wapiga kura na muundo wao hauwafikii wapiga kura. Waambie wasubiri maelekezo kutoka kwa Amsterdam.Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa.
Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana wakala mmoja au wawili.
Hii inaonyesha vyama vya upinzani havioni umuhimu wa mawakala ila siwalaumu yawezekana ni kwa sababu za kiuchumi.
Nipo JNICC tukiendelea kusubiri matokeo kutoka Tume.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kama mlilijua hili,kwanini Mlikuwa mnatusumbua na nyuzi zenu za kinyumbu kila leo? Oooh Lissu akishindwa nahama nchi,mwingine oooh akishindwa naacha kazi 😂😂😂😂mkuu mbona unasahau mapema kauli ya jiwe kufuta upinzani 2020 ama kauli ya T.L kwamba jiwe atapewa kura mil. 12 haya yalisha pangwa
siasa ipi ambayo siijui hii ya kuiba kura wazi wazi ama ya kukataza mawakala kuingia ndani ama kukamata wagombea wanapo onesha vitendo vya ukiukwaji wa taratibu.Alikuwa sahihi
Haujui siasa
kweli mkuu sera ya elimu bure ilikuwa ya nani? sera ya uboreshaji shirika la ndege ilikuwa ya nani?Hata kama chama kimoja hakina wakala, uwepo wa mawakala kutoka vyma vingi husaidia kuweka uwazi wa matokeo. Kwa mfano kama CHADEMA haikuwa na wakala lakini CUF, ACT, NCCR etc wakawa wameweka mawakala, tayari hiyo inatosha kuondoa usiri wa matokeo. CHADEMA haitapata wabunge siyo kwa sababu ya mawakala bali ni kwa sababau za sera zao na muundo wao. Hawana sera zinazowagusa wapiga kura na muundo wao hauwafikii wapiga kura. Waambie wasubiri maelekezo kutoka kwa Amsterdam.
Aliwapeleka mpaka tume ikawaokoa.tundu lissu wapeleke mchaka mchaka, wapeleke kikamanda mchaka mchaka! 😂
siasa ipi ambayo siijui hii ya kuiba kura wazi wazi ama ya kukataza mawakala kuingia ndani ama kukamata wagombea wanapo onesha vitendo vya ukiukwaji wa taratibu.
aliye kudanganya siasa ni uongo, wizi na upuuzi kama huo alikupotosha .
Kamazilikuwa za CHADEMA kwa nini wanaziita "maendeleo ya vitu" leo? Unafiki mtupukweli mkuu sera ya elimu bure ilikuwa ya nani? sera ya uboreshaji shirika la ndege ilikuwa ya nani?
huy aliye zitumia alikuwa na sera gani?
Hahahah! Kama wanaona aliyatekeleza hayo ambayo wao waliona yanastahili kufanywa kwanini waligombea au kwanini wanahisi waliibiwa kura?Kamazilikuwa za CHADEMA kwa nini wanaziita "maendeleo ya vitu" leo? Unafiki mtupu
Aliwapeleka mpaka tume ikawaokoa.
namna ya utekelezaji wake cdm hakusema atafukuza kampuni nyingine za ndege ili ibaki ya serikali tu.Kamazilikuwa za CHADEMA kwa nini wanaziita "maendeleo ya vitu" leo? Unafiki mtupu
Kampuni zipi nyingine za ndege; Fastjet ilijifia kifo cha mende. Precision air inafanya kazi inaweza kuwa inakabiliwa na ushindani wa kibiashara lakini inafanya kazi haijawahi kufukuzwa. Wewe inawezekana ulikuwa hujasafiri na fastject wakati wa siku zake za mwisho mwisho. Mimi iliwahi kunikosesha connection ya KLM kutokea mwanza kwa vile ilifuta safari bila taarifa, ikabidi nilale Mwanza bila plani, na nilipofika Dar ikabidi nilale Dar tena siku nyingine moja, na vile vile nikalipa $200 kwa KLM kufanya rebooking; kampuni gani hiyo ya kutetea, tena serikali ilichelewa sana kuifuta.namna ya utekelezaji wake cdm hakusema atafukuza kampuni nyingine za ndege ili ibaki ya serikali tu.
wapi cdm amewahi sema elimu bure n maendeleo ya vitu.