Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Ahaa sasa hata wakikosa mbunge kule kijijini Wazazi wako Baba na Mama wataacha kuvaa kandambili zilizotoboka

Mambo mengine ni vichekesho

Wakipata wabunge wawili wewe ndie utakuwa tajiri kama Barhresa au Mo Dewji

Mkuu kama wewe na ukoo wako ni choka mbaya ni choka mbaya tu

Jaribu kuwasaidia watoto wa ndugu zako kijijini iwe Dada, Binamu au Mjomba

Yaani badala ya kuwaza umaskini wa ukoo wa akina Baptist John wewe unawaza wabunge wa CHADEMA

Kabla ya ubunge wa chadema kwanini wazazi wako hawakuwa matajiri kama Bahresa au Mo Dewji? Miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990

Wazazi wako walikuwa wapi achana na story za CHADEMA ,

CHADEMA ni taasi imemfanya hata mzazi wako leo apate lami na taa kwa kuwatisha CCM
Duh

Mwenzio kaelezea observation zake, ashakuwa mbaya???
 
Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa.

Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana wakala mmoja au wawili.

Hii inaonyesha vyama vya upinzani havioni umuhimu wa mawakala ila siwalaumu yawezekana ni kwa sababu za kiuchumi.

Nipo JNICC tukiendelea kusubiri matokeo kutoka Tume.

Maendeleo hayana vyama!
Hata kama chama kimoja hakina wakala, uwepo wa mawakala kutoka vyma vingi husaidia kuweka uwazi wa matokeo. Kwa mfano kama CHADEMA haikuwa na wakala lakini CUF, ACT, NCCR etc wakawa wameweka mawakala, tayari hiyo inatosha kuondoa usiri wa matokeo. CHADEMA haitapata wabunge siyo kwa sababu ya mawakala bali ni kwa sababau za sera zao na muundo wao. Hawana sera zinazowagusa wapiga kura na muundo wao hauwafikii wapiga kura. Waambie wasubiri maelekezo kutoka kwa Amsterdam.
 
mkuu mbona unasahau mapema kauli ya jiwe kufuta upinzani 2020 ama kauli ya T.L kwamba jiwe atapewa kura mil. 12 haya yalisha pangwa
Sasa kama mlilijua hili,kwanini Mlikuwa mnatusumbua na nyuzi zenu za kinyumbu kila leo? Oooh Lissu akishindwa nahama nchi,mwingine oooh akishindwa naacha kazi 😂😂😂😂
 
Alikuwa sahihi

Haujui siasa
siasa ipi ambayo siijui hii ya kuiba kura wazi wazi ama ya kukataza mawakala kuingia ndani ama kukamata wagombea wanapo onesha vitendo vya ukiukwaji wa taratibu.

aliye kudanganya siasa ni uongo, wizi na upuuzi kama huo alikupotosha .
 
Hata kama chama kimoja hakina wakala, uwepo wa mawakala kutoka vyma vingi husaidia kuweka uwazi wa matokeo. Kwa mfano kama CHADEMA haikuwa na wakala lakini CUF, ACT, NCCR etc wakawa wameweka mawakala, tayari hiyo inatosha kuondoa usiri wa matokeo. CHADEMA haitapata wabunge siyo kwa sababu ya mawakala bali ni kwa sababau za sera zao na muundo wao. Hawana sera zinazowagusa wapiga kura na muundo wao hauwafikii wapiga kura. Waambie wasubiri maelekezo kutoka kwa Amsterdam.
kweli mkuu sera ya elimu bure ilikuwa ya nani? sera ya uboreshaji shirika la ndege ilikuwa ya nani?

huy aliye zitumia alikuwa na sera gani?
 
siasa ipi ambayo siijui hii ya kuiba kura wazi wazi ama ya kukataza mawakala kuingia ndani ama kukamata wagombea wanapo onesha vitendo vya ukiukwaji wa taratibu.

aliye kudanganya siasa ni uongo, wizi na upuuzi kama huo alikupotosha .

Chochote chenye makosa, ni makosa

Itoshe kusema kama kuna fraud, hauwezi kuelezea

Imetoka hiyo ndugu
 
kweli mkuu sera ya elimu bure ilikuwa ya nani? sera ya uboreshaji shirika la ndege ilikuwa ya nani?

huy aliye zitumia alikuwa na sera gani?
Kamazilikuwa za CHADEMA kwa nini wanaziita "maendeleo ya vitu" leo? Unafiki mtupu
 
Kamazilikuwa za CHADEMA kwa nini wanaziita "maendeleo ya vitu" leo? Unafiki mtupu
Hahahah! Kama wanaona aliyatekeleza hayo ambayo wao waliona yanastahili kufanywa kwanini waligombea au kwanini wanahisi waliibiwa kura?

Wakubaliane na hali
 
Kamazilikuwa za CHADEMA kwa nini wanaziita "maendeleo ya vitu" leo? Unafiki mtupu
namna ya utekelezaji wake cdm hakusema atafukuza kampuni nyingine za ndege ili ibaki ya serikali tu.

wapi cdm amewahi sema elimu bure n maendeleo ya vitu.
 
namna ya utekelezaji wake cdm hakusema atafukuza kampuni nyingine za ndege ili ibaki ya serikali tu.

wapi cdm amewahi sema elimu bure n maendeleo ya vitu.
Kampuni zipi nyingine za ndege; Fastjet ilijifia kifo cha mende. Precision air inafanya kazi inaweza kuwa inakabiliwa na ushindani wa kibiashara lakini inafanya kazi haijawahi kufukuzwa. Wewe inawezekana ulikuwa hujasafiri na fastject wakati wa siku zake za mwisho mwisho. Mimi iliwahi kunikosesha connection ya KLM kutokea mwanza kwa vile ilifuta safari bila taarifa, ikabidi nilale Mwanza bila plani, na nilipofika Dar ikabidi nilale Dar tena siku nyingine moja, na vile vile nikalipa $200 kwa KLM kufanya rebooking; kampuni gani hiyo ya kutetea, tena serikali ilichelewa sana kuifuta.
 
Back
Top Bottom