CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

Nahisi toka nijiunge JF wewe ndio nimekuona mtu wa kwanza unayejifanya unamfahamu mungu
Huyu wa pili kutokea chama cha mboga mboga kuamini hivyo maana alianza mwenyekiti wao kufanyia vikao madhabahuni
 
Kinachonishangaza kingine, Chadema hamjawahi kuamini uweza wa Mungu, rejea maombi ya korona, sasa kinachowafanya mkimbilie kwake leo ni kipi sasa?
Halafu kwa kukujuza zaidi mimi sikupingi kwa kuwa pengine mimi ni mwanachadema,mimi sio mwanachadema,hata ningejua wewe ni ccm nisingekupinga kwa u-ccm wako.Mimi ninakupinga kwa kile ulichokiandika ambacho kinaakisi upumbavu wako.
 
Bora hata ya chadema kuliko yule aliyekuwa anasema tumtangulize mungu wakati yeye ana mahirizi makubwa kama simu kwenye mikoti yake ya suti huku akiwa ndio kinara wa kuwadhuru watu wake
 
Halafu kwa kukujuza zaidi mimi sikupingi kwa kuwa pengine mimi ni mwanachadema,mimi sio mwanachadema,hata ningejua wewe ni ccm nisingekupinga kwa u-ccm wako.Mimi ninakupinga kwa kile ulichokiandika ambacho kinaakisi upumbavu wako.
Sasa kama mnakutanika miongoni mwenu kama wewe hauamini hata uwepo wa Mungu, mnachokuwa mnakifanya ni nini sasa wajinga nyinyi?
 
Sasa kama mnakutanika miongoni mwenu kama wewe hauamini hata uwepo wa Mungu, mnachokuwa mnakifanya ni nini sasa wajinga nyinyi?
Popoma wewe ungekuwa unamjua mungu ungekuwa unashika sheria zake moja wapo ikiwemo ya kutokuwa mpumbavu.Siwashiwi kwamba eti mtu popoma kama wewe unamjua mungu
 
Nini kinawaogopesha kuhusu haya maombi ? Kwani wakisali wanawachukulia nini kilicho chenu?

Imeandikwa wawepo wawili nami nitajumuika katikati yao..sasa mnapungukiwa na nini nyie CCM kama wakimlilia Mungu wao kwa yanayowasibu?
 
Mungu daima anasimamia HAKI. Mungu daima hapendi DHULMA. Mungu hapendi uonevu. Dai kubwa la CHADEMA ni kuwa na uwanja ulio sawa wa kufanya siasa. Sio zaidi ya hapo. Umetoa mfano wa Simba na Yanga, kwamba Mungu hawezi kupendelea yeyote kati yao. Ni kweli. Lakini vipi kama Yanga ndio waweke refa wao, linesmen wao, kamisaa wao. Halafu refa anatoa kadi nyekundu kwa wachezaji 5 wa Simba wanatolewa nje, na golikipa pia, hiyo mechi Mungu ataifurahia? Ndiyo ccm inavyofanya. Hapo Mungu mbona anahusika sana tu
 
Japanese unaamini unahoja?? Vita anavyopigwa mbowe na bado anasimamia anachoamini ingekuwa wewe ungemudu? Hatakama mtu anaushirika na majini bora ukae kimya maana hatashetani atakuwa anastaajabu
 
Nini kinawaogopesha kuhusu haya maombi ? Kwani wakisali wanawachukulia nini kilicho chenu?

Imeandikwa wawepo wawili nami nitajumuika katikati yao..sasa mnapungukiwa na nini nyie CCM kama wakimlilia Mungu wao kwa yanayowasibu?
wewe unaona kuna mtu anaogopa hapo? tunakukumbusha kwamba utaratibu mnaoutumia kimaombi, sudhani kama ni sawa kwa sababu mpo kichama zaidi na Mungu si wa chama!

kwani Mungu anakanisa linaitwa Chadema?
 
MUNGU hana chama wala hana kadi ya chama wala Yeye si mwanasiasa lakini; MUNGU anasimamia KWELI na HAKI.

Palipo na "uonevu", wakati mwingine huingilia kati na kuwasaidia wale wanaoonewa ikiwa tu ataamua sawa na mapenzi yake.
 
mtindo wanaoutumia hawa wenzetu kumwomba Mungu ni sawa kutaka kumshawishi awe wa Chadema ni sahihi, magwanda, makamera na matangazo mbalimbali ya chama, hiyo ni sawa au ni mtazamo wao usio na faida kwa Mwenyezi Mungu?
 
Home HABARI Waitara ashiriki ibada ya Jumapili Kanisa la PEFA Gwitiryo - Sirari

Waitara ashiriki ibada ya Jumapili Kanisa la PEFA Gwitiryo - Sirari​

October 04, 2020 ,HABARI

Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Vijijini kupitia CCM, Mwita Waitara (wa pili kushoto) akiongozwa kuingia katika Kanisa la Kipentekosti la PEFA Gwitiryo - Sirari ambako ameungana na waumini wa kanisa hilo kushiriki ibada ya Jumapili leo asubuhi. (Picha na Peter Hezron)

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Tarime Vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara ameungana na waumini wa Kanisa la Kipentekosti la PEFA Gwitiryo - Sirari kushiriki ibada ya Jumapili iliyoongozwa na Mchungaji Julius John leo (Oktoba 4, 2020) asubuhi.
Baada ya kushiriki ibada hiyo, Waitara amekwenda kuhutubia mkutano wake wa kampeni katika kijiji cha Nyandage kilichopo kata ya Nyanungu jimboni humo.
#MaraOnlineNews-Updates
Tags HABARI#

Share This
AddThis Sharing Buttons
Share to Facebook
Share to TwitterShare to WhatsAppShare to More
 
Ni wajinga sana hawa watu!

Magufuli aliposema tufunge na kuomba ili atuepushe na janga la corona, wenyewe wakawa wanamkejeli eti Mungu ana kazi nyingi za kufanya! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Machadema ni kama hayana vichwa!
Ye alishindwaje kuomba
 
🤣🤣🤣🤣
 
mtindo wanaoutumia hawa wenzetu kumwomba Mungu ni sawa kutaka kumshawishi awe wa Chadema ni sahihi, magwanda, makamera na matangazo mbalimbali ya chama, hiyo ni sawa au ni mtazamo wao usio na faida kwa Mwenyezi Mungu?
Wakati wa sala, MUNGU haangalii mavazi ya mtu au muonekano wa mtu anayesali, MUNGU anaangalia yale ya moyoni mwa mtu, nia ya dhati ya mtu.

Hata wenye dhambi (binadamu wote ni wenye dhambi) wakimlilia MUNGU, wakati mwingine huwahurumia na kujibu maombi yao.

MUNGU ni zaidi ya unavyomfahamu wewe. MUNGU hawazi kama unavyowaza wewe.
 
Mimi sina ufahamu mzuri kwenye siasa ila ukweli nikuwa ulichoandika kina mapungufu mengi

Hoja ni hivi sare za chama cha kisiasa ni utambulisho wao, na kama ni hivyo basi kitendo cha wao kwenda na sare ilikuwa sehemu ya kutambuliwa na kanisa kama ni watu wapi wamefika pale. Mind you! sare sio zilizopeleka maombi kwa Mwenyezi Mungu

Nimeona unaongelea habari za Mwenyezi Mungu sana hivyo naomba nkuulize hili.Vp Mwenyezi Mungu anapendezwa na dhuluma?
 
Hapana, Mungu hapendezwi na dhuluma, Mungu anapendezwa na haki, ila pia Mungu huyo huyo ni mwenye kulinda maagano kati yake na watu waliokubaliana naye

Unadhani ni kwanini hata sasa kuna wengi tu magerezani watu ambao hawana hatia? Unadhini Mungu kafumbia macho hao ila mmoja mmja tena tu ni kwa sababu ya cheyo chake kuwa kikubwa na umaarufu wake ndio Mungu ashughurikie sana huyo kuliko wasio maarufu na masikini wa kutupwa ambao wako jela na hawana hatia?

Mungu ni mwenye huruma sana ila siyo wa machafuko
 
Ngoja na tulia yeye ni mwenye haki, kaliumba taifa hili na vitu vyote vilivyomo ,hataliacha Sasa twende
 
Sikia Mwenyezi Mungu hutoa majibu ya kila jambo kulingana mda wake na pili humjibu kila amwombaye sio kwa wakati wala kwa cheo chake

Naona unataka kusema kwamba walioenda kumuombea kiongozi wa CHADEMA wamefanya haraka au wanatumia umaarufu wake jambo ambalo kwa Mwenyezi Mungu sio kweli maana yeye hupokea maombi ya kila mtu kwa mda wote na hujibu kwa impendezavyo

Ndio kuna watu wako magerezani wengine. Je, unahisi wameomba kwa Mungu hajawajibu? au unahisi ukiwa gerezani basi Mungu akutoe? and what if hilo ndo ulistahili?

Nachojua Mwenyezi Mungu anamjibu kila amwombaye ila huitaji subra kidogo.
 
Ni wajinga sana hawa watu!

Magufuli aliposema tufunge na kuomba ili atuepushe na janga la corona, wenyewe wakawa wanamkejeli eti Mungu ana kazi nyingi za kufanya! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Machadema ni kama hayana vichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…