CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

Ni wajinga sana hawa watu!

Magufuli aliposema tufunge na kuomba ili atuepushe na janga la corona, wenyewe wakawa wanamkejeli eti Mungu ana kazi nyingi za kufanya! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Machadema ni kama hayana vichwa!
Hizi siasa za Chadema ni mbovu na hazifai, kwa sasa hivi ndio wanaona eti Mungu anaweza kutoa msaada kwao
 
Popoma wewe ungekuwa unamjua mungu ungekuwa unashika sheria zake moja wapo ikiwemo ya kutokuwa mpumbavu.Siwashiwi kwamba eti mtu popoma kama wewe unamjua mungu
Kuna faida unapata kwenye matusi haya unayoropoka aisee!
 
Acha ujinga kilaza wa ccm wewe,kwahiyo unamjua mungu kupitia maandiko ya binadamu wenzako.Kwanini huyo mungu asikufanye na wewe umjue bali anapitia kwa wengine ili wewe umjue.
Kosa lako ni kutaja neno ujinga mahali ispostahili, ila nakuelewa vizuri kwamba wewe, ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu ila unaamini uwepo wa miungu (mungu)
 
Back
Top Bottom