Magufuli aliposema tufunge na kuomba ili atuepushe na janga la corona, wenyewe wakawa wanamkejeli eti Mungu ana kazi nyingi za kufanya! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Popoma wewe ungekuwa unamjua mungu ungekuwa unashika sheria zake moja wapo ikiwemo ya kutokuwa mpumbavu.Siwashiwi kwamba eti mtu popoma kama wewe unamjua mungu
Acha ujinga kilaza wa ccm wewe,kwahiyo unamjua mungu kupitia maandiko ya binadamu wenzako.Kwanini huyo mungu asikufanye na wewe umjue bali anapitia kwa wengine ili wewe umjue.
Kosa lako ni kutaja neno ujinga mahali ispostahili, ila nakuelewa vizuri kwamba wewe, ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu ila unaamini uwepo wa miungu (mungu)