Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA

Ukurasani X Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira

Mrema.png




My take; Dar Young Africans ni CCM 😀
 
Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA

Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira

My take; Dar Young Africans ni CCM 😀
Simba na Yanga zitakufa baada ya ccm kung"olewa, ndio ilivyotokea Kenya, Gormahia na Leopard baada ya KANU kufa
 
Ni furaha kwangu kuona kuna mgogoro mkubwa Simba ambao natamani upelekee kuporomoka na hatimaye kupotea kabisa kwa Simba SC. Halafu baadaye Yanga nako kuje kuwake moto ili nayo ipotee mazima.


Haya yakitokea, ndiyo watanzania akili zitawarudia na kuanza kujadili masuala ya msingi na kuachana na ushabiki wa mambo ya kijinga kama ya Simba na Yanga
 
Back
Top Bottom