Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiini Cha Yanga ni TAA, TAA kamzaa TANU.... TANU kamzaa CCM. BENDERA na rangi mama ya jezi za Yanga ni za TAA. Huyo mrema alishawahi kujiuliza mwenge kwenye logo ya Yanga umefuata nini.
Manji alitaka kujibinafsisha Jengo la Yanga kilichomkuta hatakaa asahau dadeki 😂
 
Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA

Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira

My take; Dar Young Africans ni CCM 😀
Tutofautishe mpira ma siasa. Mbona hatukulalamika wakati anatoa pesa ya goli La mama na ndege?
 
Mkurugenzi wa CHADEMA mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA

Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira

My take; Dar Young Africans ni CCM 😀

CCM wanafurahia hilo kwa sasa .... ila siku Simba nao wakichagua chama ndipo hali ya kisiasa itakapobadilika kabisa. Kwa salama yao CCM wasiendekeze siasa na mpira ..... itawatokea PUANI.
 
CCM wanafurahia hilo kwa sasa .... ila siku Simba nao wakichagua chama ndipo hali ya kisiasa itakapobadilika kabisa. Kwa salama yao CCM wasiendekeze siasa na mpira ..... itawatokea PUANI.
Simba SC ni CCM Watupu kuanzia mmiliki MO Dewji hadi Wanachama akina Kigwangalla, Zitto, January, Dr Tulia, Zungu nk
..nk
 
Simba SC ni CCM Watupu kuanzia mmiliki MO Dewji hadi Wanachama akina Kigwangalla, Zitto, January, Dr Tulia, Zungu nk
..nk

Sawa. Labda kwa sasa ... wote tunajua Simba na Yanga hawawezi kuwa upande moja. Ukiweka siasa kwenye mpira lazima kuna siku watachuwa pande tofauti ... Believe me...!!
 
Ina maana hadi sasa Mrema na Chadema hawajui kuwa Yanga ni timu ya CCM?

Yani hili nalo linahitaji mjadala kabisa? Hivi unawezaje kuitenganishs CCM na Yanga?
Hata mimi nimemshangaa

Simba ni timu ya Waarabu 😀
 
Ni furaha kwangu kuona kuna mgogoro mkubwa Simba ambao natamani upelekee kuporomoka na hatimaye kupotea kabisa kwa Simba SC. Halafu baadaye Yanga nako kuje kuwake moto ili nayo ipotee mazima.

Haya yakitokea, ndiyo watanzania akili zitawarudia na kuanza kujadili masuala ya msingi na kuachana na ushabiki wa mambo ya kijinga kama ya Simba na Yanga
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom