Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani kandanda asili yake wapi? πŸ˜‚
 
Narudia kusema kuwa hakuna mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukataa kumuunga mkono Rais Samia. Zingatia maneno Mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua
Kwa hiyo mkuu wewe ndio umeshindwa kabisa kuwa na maisha mazuri bila kuwa kwenye mifumo ya kichawa , yaani upambane kwa akili na uvumilivu bila kuwa mpambe wa mtu?
 
Ndio huezi mchukia mtu anayepambania nchi yako kwa kusikilza propaganda za upinzani
Hakuna mtu anae mchukia mtu , ila wahenga walisema kizuri chajiuza kibaya cha jitembeza .
 
ni dalili nzuri ya kufa kwa yanga,mwakani watachukua nafasi ya tatu warudi zao shirikisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…