Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiini Cha Yanga ni TAA, TAA kamzaa TANU.... TANU kamzaa CCM. BENDERA na rangi mama ya jezi za Yanga ni za TAA. Huyo mrema alishawahi kujiuliza mwenge kwenye logo ya Yanga umefuata nini.
 
Kiini Cha Yanga ni TAA, TAA kamzaa TANU.... TANU kamzaa CCM. BENDERA na rangi mama ya jezi za Yanga ni za TAA. Huyo mrema alishawahi kujiuliza mwenge kwenye logo ya Yanga umefuata nini.
Manji alitaka kujibinafsisha Jengo la Yanga kilichomkuta hatakaa asahau dadeki πŸ˜‚
 
Tutofautishe mpira ma siasa. Mbona hatukulalamika wakati anatoa pesa ya goli La mama na ndege?
 
CCM wanafurahia hilo kwa sasa .... ila siku Simba nao wakichagua chama ndipo hali ya kisiasa itakapobadilika kabisa. Kwa salama yao CCM wasiendekeze siasa na mpira ..... itawatokea PUANI.
 
CCM wanafurahia hilo kwa sasa .... ila siku Simba nao wakichagua chama ndipo hali ya kisiasa itakapobadilika kabisa. Kwa salama yao CCM wasiendekeze siasa na mpira ..... itawatokea PUANI.
Simba SC ni CCM Watupu kuanzia mmiliki MO Dewji hadi Wanachama akina Kigwangalla, Zitto, January, Dr Tulia, Zungu nk
..nk
 
Simba SC ni CCM Watupu kuanzia mmiliki MO Dewji hadi Wanachama akina Kigwangalla, Zitto, January, Dr Tulia, Zungu nk
..nk

Sawa. Labda kwa sasa ... wote tunajua Simba na Yanga hawawezi kuwa upande moja. Ukiweka siasa kwenye mpira lazima kuna siku watachuwa pande tofauti ... Believe me...!!
 
Ina maana hadi sasa Mrema na Chadema hawajui kuwa Yanga ni timu ya CCM?

Yani hili nalo linahitaji mjadala kabisa? Hivi unawezaje kuitenganishs CCM na Yanga?
Hata mimi nimemshangaa

Simba ni timu ya Waarabu πŸ˜€
 
Nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…