Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hati ya jengo ipo kwa fatuma karume hiyo ni ccm!
 
Kwani Machadema hawajui Yanga ni timu ya CCM? Daima mbele nyuma mwiko?

Kama kusoma hawajui hata rangi za jezi hawaoni? 🀣🀣
 
Kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema ni lazima awe upande wa Rais Samia na kumuunga Mkono kwa kazi nzuri anayoifanya pamoja na uchapakazi wake uliotukuka.

Kama wanaomsifu Samia ni watu pekee wenye akili timamu, mbona wewe huna akili timamu lakini unamsifia Samia na mtu mwingine yeyote mwenye uwezo wa kukurushia makombo?

Ukweli ni kuwa mtu anayejitambua huzingatia taratibu, miongozo, kanuni na sheria zinazosimamia kila jambo. Hawa watu wasiojielewa, chawa punguani, kuna siku wataingia hata mahakamani au makanisani na misikitini wakiimba nyimbo za kumsifu Samia. Tatizo ni njaa. Wanafanya yote hayo ili Samia awaone, awarushie chochote. Umaskini wa mali ukichanganyika na wa kichwani ni hatari sana.
 
Ni wewe tu usiyejitambua na wenzako wachache wenye mawazo na akili kama zako ndio wanaweza kushindwa kutambua mchango chanya wa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini wenye akili Timamu na wanaojitambua wanatambua mchango chanya wa Rais wetu kipenzi ikiwepo katika Secta ya michezo .ndio maana hawaoni haya wala aibu kumpongeza hadharani na kuonyesha kuwa wana imani naye
 
Acha kuota ndoto mchana mchana. CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.

Ona huyu punguani anavyozidi kuishiwa hata kibaba kidogo cha akili kilichokuwa kimesalia!!!
 
Luka wewe ni mtu mzima ujue[emoji849]
Tangu lini Mwashambwa amekuwa mtu mzima. Huyo ni mgonjwa kichwani. Fuatilia maandiko yake, utamtambua vizuri. Kwa hiyo usishangae anapoleta maandiko yake ya ajabu. Ahurumiwe.
 
Mkuu hizi timu ni matawi ya CCM. Halafu magabachori ndiyo waratibu wakuu. Ushabiki wa mpira wa Bongo mimi nilishaacha siku nyingi kwa sababu ya hawa magabachori.
 
Reactions: G4N
Kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema ni lazima awe upande wa Rais Samia na kumuunga Mkono kwa kazi nzuri anayoifanya pamoja na uchapakazi wake uliotukuka.
Sawa sawa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hili Yanga wamechemka na wala haliwezi kufumbiwa macho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…