Siyo Mbowe ni kamati kuu ya CDM, waulize wajumbe usituchoshe.Nimeshangaa sana Mbowe kawaje, sasa unamuacha Rose Mayemba alafu unweka random women tu ambao hata kwenye struggle za chama hatujawahi kuwaona.
Mfano unamkata Twaha Mwaipaya alafu unamuweka Assenga? Hivi Mbowe nani atakayempigia kampeni za urais 2025 kama ndio watu anaojaza ni liabilities.
Bora angekua anaweka watu wenye uwezo zaidi kuliko kujaza liabilities ili tu kukomoa upande wa Lissu.
Yaleyale ya kumteua Mashinji ili kumkomoa Mnyika kisa alimpinga Lowassa!!
Sidhani kama ana career nje ya siasa, ni seasonal political na ukiweka hakumaliza degree sidhani kama ana opportunities nyingi huko nje apart from kurudi kwenye NGOs alizokua ameanzisha 2000-2004. Anaona akimkwaza Mbowe atapoteza ukatibu hivyo kupotea kisiasa. Ila cha ajabu siku moja huko mbeleni naye atakuja kumvaa Mbowe na kueleza haya haya tunayosema sasa.Mbali na siasa Mnyika ana shughuli gani?
Au na yeye ni miongoni mwa wanaolishwa na Mbowe kwa kupitia ruzuku?
Yeye amtegemea mwamba Bila hiyana, nalo litapita !Mbali na siasa Mnyika ana shughuli gani?
Au na yeye ni miongoni mwa wanaolishwa na Mbowe kwa kupitia ruzuku?
Pro Mbowe wote wamepitishwa so it says a lotSiyo Mbowe ni kamati kuu ya CDM, waulize wajumbe usituchoshe.
Acha kulalamika mtoto wa kiume - si umeyavulia nguo.Pro Mbowe wote wamepitishwa so it says a lot
Ha ha ha haNiliwaambia team Antipas mropokaji maji yatazid unga mtarudi mitandaoni kumtukana mbowe na kulia...
Manyumbu nyie
Sawa kamati kuu ina watu 30 max, wanachama tupo zaidi ya million 1 tutakutana huku ground. Hivi kuna mjinga ataenda mkutano au kupiga kura hiyo oktoba kwa chadema ya mbowe na wenje?Acha kulalamika mtoto wa kiume - si umeyavulia nguo.
ni muhimu sana wasio na sifa, vigezo vya kisheria na wasiostahili wakaenguliwa ili kutoa fursa na nafasi kwa waadilifu kupata nafasi hizo.Wakuu,
Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.
Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?
Duh! Hayo mambo ya Mheshimiwa ya nini tena jamani kwenye kamati?!
Tena imeandikwa kirefu utafikiri ndiyo jina la kwanza la mtu! π Hatari tupu.
ni muhimu sana chama kupitia kamati kuu kuzingatia sifa na vigezo vya kikatiba kwa mgombea uongozi na sio team kibaraka au team mbowe.Wakuu,
Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.
Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?
Kwa namna hiyo Mnyika hawezi kusimamia haki ya namna yoyote hapo! Kikubwa atakachokifanya atalinda ugali wake.Sidhani kama ana career nje ya siasa, ni seasonal political na ukiweka hakumaliza degree sidhani kama ana opportunities nyingi huko nje apart from kurudi kwenye NGOs alizokua ameanzisha 2000-2004. Anaona akimkwaza Mbowe atapoteza ukatibu hivyo kupotea kisiasa. Ila cha ajabu siku moja huko mbeleni naye atakuja kumvaa Mbowe na kueleza haya haya tunayosema sasa.
Siasa za Tanzania ni ajabu sana
Mwanzoni nilimlauku Lissu lakini sasa hivi namshukuru sana. Yaani tumekuwa tunauziwa mbuzi kwenye gunia miaka yote hii....watanzania ni walewale, ccm kama chadema na chadema kama ccm. Labda kizazi hiki kifutike. Tusake tonge banduguWakuu,
Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.
Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?
Nimeshangaa sana Mbowe kawaje, sasa unamuacha Rose Mayemba alafu unweka random women tu ambao hata kwenye struggle za chama hatujawahi kuwaona.