hawa watu wakati wa jk.tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana ,hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.walikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema jakaya ni mbaya sana, akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta,wala kukohoa.wakaanza bora jk,bora jk,na sasa yupo rais samia ameanza vizuri sana na ana utashi mkubwa sana .wanaenda ikulu kama kwao lakini bado wanasema hafai, nawaambieni itapita miaka mingi sana kumpata samia mwingine,na sauti zitasikika za bora samia bora samia ngoja kigwangala ashike dola!