Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana.
Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala kukohoa. Wakaanza bora Jakaya, bora Jakaya na sasa yupo rais Samia ameanza vizuri sana na ana utashi mkubwa sana. Wanaenda ikulu kama kwao lakini bado wanasema hafai, nawaambieni itapita miaka mingi sana kumpata Samia mwingine, na sauti zitasikika za bora Samia bora Samia ngoja Kigwangala ashike dola!