CHADEMA walimtukana sana Jakaya kikaja chuma kikawafunga midomo na miguu wakasema bora Jakaya. Siku zinakuja tena sio nyingi watamkumbuka Samia

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana.

Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala kukohoa. Wakaanza bora Jakaya, bora Jakaya na sasa yupo rais Samia ameanza vizuri sana na ana utashi mkubwa sana. Wanaenda ikulu kama kwao lakini bado wanasema hafai, nawaambieni itapita miaka mingi sana kumpata Samia mwingine, na sauti zitasikika za bora Samia bora Samia ngoja Kigwangala ashike dola!
 
hawa watu wakati wa jk.tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana ,hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.walikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema jakaya ni mbaya sana, akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta,wala kukohoa.wakaanza bora jk,bora jk,na sasa yupo rais samia ameanza vizuri sana na ana utashi mkubwa sana .wanaenda ikulu kama kwao lakini bado wanasema hafai, nawaambieni itapita miaka mingi sana kumpata samia mwingine,na sauti zitasikika za bora samia bora samia ngoja kigwangala ashike dola!
Walimtukana au walimkosoa? Nyie pimbi mbataka watanzania Million 60 tuwaze sawa? Wabongo ni pimbi sana kiongoizi akikosolewa ni anatukanwa,
 
Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana.

Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala kukohoa. Wakaanza bora Jakaya, bora Jakaya na sasa yupo rais Samia ameanza vizuri sana na ana utashi mkubwa sana. Wanaenda ikulu kama kwao lakini bado wanasema hafai, nawaambieni itapita miaka mingi sana kumpata Samia mwingine, na sauti zitasikika za bora Samia bora Samia ngoja Kigwangala ashike dola!
Hakuna Rais mwingine zaidi ya Samia Mzee na hakuna chadema aliesema hamtaki Rais Samia Suluhu
 
Back
Top Bottom