USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
- Thread starter
- #21
Haki ya kukwepa majukumuHiyo ni haki yao ya msingi pia ni njia ya diplomasia ya kufikisha ujumbe kwa mtawala Raisi kwamba hawakibaliani nae katika sera zake na utandaji wake hususani kwenye masuala ya utawaala wa sheria dimokurasia na jinsi anavo endesha gonjwa la Corona kwa hilo wako sawa kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app