Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetembelea majimbo yao ukakuta watoro? Kuna wabunge/mawaziri wa ccm yapata miaka hawajawahi kutia mguu bungeni huwasemi kwa nini? NB.Hakuna kupangiana.
Hakika mkuuWabunge wapitishe sheria mbunge ukimsusia Rais hotuba yake basi hupati pensheni yako na unakatwa mshahara kiasi. Urais ni kama nembo ya taifa huwezi kuheshimu Bendera alafu umdharau Rais! Au unamheshimu mbowe unamdharau raid wakati mbowe hatoi hata mshahara! Wabishane hko bungeni waache kukimbia hovyo
Umekuwa msemaji wa "wananchi?"
Kwa hiyo makamanda mnaogopa kelele za meza? Wenzetu mafunzo ya ukamanda mnayachukulia wapi?Bora tu wasishiriki maana huenda Bunge likageuzwa jukwaa/uwanja wa kampeni.
Humo huenda watakuwa wamepanga kushangilia na kugonga meza na vijembe kwa wapinzani .
Japo taarifa yako ni kama umbea, binafsi sioni sababu Chadema kukaa bungeni, yote mliyowafanyia kuanzia kesi zisizokuwa na maana, Ndugai kuropoka pumba kila siku hawatarudi bungeni, meko kudai aachiwe huku nje apambane nao then Lissu akapigwa risasi, kumhusisha Mbowe na tuhuma za uongo wa kila aina, kumharibia mali zake bila sababu tena bila kufuata sheria( uvunjwaji billicanas), hivi kweli kuna haja gani kukaa na watu wa aina hiyo uwasikilize?
Watu waliotawaliwa na matendo ya kinyama kwa wanadamu wenzao, wasio na chembe ya huruma, wanafiki wanaohubiri kinyume na matendo yao, Chadema wanatakiwa kurudi kwa wananchi wawaeleze mipango yao, wananchi ndio mabosi wao wa kuwarudisha bungeni, sio Ndugai waka meko na serikali yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda wa uongo hawaKwa hiyo makamanda mnaogopa kelele za meza? Wenzetu mafunzo ya ukamanda mnayachukulia wapi?
Mimi sikutambui!
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.
Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,
My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
ni bora tu wasepe,
Chadema wanawaza kupinga ukiwauliza ni lini walipanga la maendeleo hakunani bora tu wasepe,
maana magufuli akikumbuka jinsi yeye anavyopambana kuboresha uchumi na miundombinu ya nchi.
alafu wabunge mazezeta wanampinga anaweza wachapa makofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao tumewazoea mkuu. Huko FB wana mtu wao anaitwa CORONAVIRUS TZ yeye daima ni kupika takwimu fake za wagonjwa wa corona na watu waliyokufa kwa corona. Wao na uzarendo wa nchi yao ni maji na kichaa.Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.
Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,
My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema huwa hawaoni soniUjinga tu.Sasa wakisusia jamaa ndo atashindwa kuhutubia ?