Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Udikteta anao mbowe mfahamu huyo anakutosah
Kwa jinsi unavyoeleza hisia zako nimegundua haya:
a.Hukupata uelewa wa namna mbali mbali za kupinga/kueleza hisia zako juu ya jambo usiloliafiki(protest).
b.Huna uelewa na utambuzi wa haki za raia,wawakilishi na mipaka ya mamlaka mbali mbali.
c.Ushabiki umekupofusha.
d.Una vinasaba vya udikteta.
e.Ni mhafidhina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alafu usipende kuipaka matope tanzania bwashee .
kwa east africa akuna nchi yenyekuheshimika kidiplomasia kama tanzania.tanzania ndo kituo cha kupatanisha migogoro yote ya nchi za maziwa makuu.
hao mabeberu wenyewe mnao waomba poo wanaipa salute tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Rudi kwanza shule ujifunze kuandika kwa usahihi, ukifanikiwa hilo ndio uje ujadili na mimi. Huna viwango vyangu dogo.
 
Udikteta anao mbowe mfahamu huyo anakutosah

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachosema kinatoka moyoni mwako na dhati kuwa "Mbowe" ni dikteta (kwa mujibu wako na ccm) kulinganisha na anayedai "hajaribiwi,angewapoteza robo/nusu ya walioshangilia mtia nia mwenzie,aliyetoa agizo wabunge wafukuzwe ili awashughulikie wakiwa nje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom