Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.

Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,

My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mlitaka kumuua mzee wetu Mangula kwa sum?
 
Hata wakati mh. Rais alivyolihutubia Bunge wakati ule wa Uzinduzi wa Bunge Mwezi Novemba 2015 si walitoka pia tumewazoea hao wala hakuna tetesi ni ukweli mtupu
 
Ha ha ha
Basi Rais akiingia wafunge mageti na milango ya Bunge ili wasitoke.

Ili wakipiga kelele Dunia nzima ione jinsi hali zao zilivyo humo Bungeni. Wakigoma kukaa wapigwe tu...eeh maana tumechoka sasa.. . (in former PMs voice)
(just utani)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hairuhusiwi kwenda kuji saidia? Unakaa huko mpaka hotuba inakwisha
 
Magufuli ni katili sana haifai Chadema wamsikilize. Aliyowafanyia hata dunia inasikitika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom