NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
hata usipomtambua wewe haunafaida.Mimi sikutambui!
upo upo tu.kaa utulie dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata usipomtambua wewe haunafaida.Mimi sikutambui!
Naimani hotuba hii ndio mwisho wa chademaNzuri zaidi wasusie nafasi zao za ubunge na watangaze kuwa mwaka huu hawatagombea nafasi yoyote,itapendeza zaidi.
Atakuwa kijana wa kigogoHao tumewazoea mkuu. Huko FB wana mtu wao anaitwa CORONAVIRUS TZ yeye daima ni kupika takwimu fake za wagonjwa wa corona na watu waliyokufa kwa corona. Wao na uzarendo wa nchi yao ni maji na kichaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao tumewazoea mkuu. Huko FB wana mtu wao anaitwa CORONAVIRUS TZ yeye daima ni kupika takwimu fake za wagonjwa wa corona na watu waliyokufa kwa corona. Wao na uzarendo wa nchi yao ni maji na kichaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha maendeleo hata kunadi sera zao wameshindwaChadema wanawaza kupinga ukiwauliza ni lini walipanga la maendeleo hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.
Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,
My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera msemaji wa CHADEMANipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.
Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,
My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una faida gani kwa nchi? Tuanzie hapo kwanza!
Umesema "wananchi" wana hasira nao. Wewe ndiyo wananchi wa majimbo yote? Je,walikuteua kuwasemea?
Kwa jinsi unavyoeleza hisia zako nimegundua haya:Acha watoke tu.
Sihitaji kuona wabunge wasiojielewa wakilinajisi bunge tetu tukufu tena mbele ya Mh Rais JPM Mwana wa Afrika.
Ni watoto tu wanaweza kufikiria kumvunjia heshima baba yao aliyewaketisha kikao cha familia na wao kuondoka kwenda kwa jirani yao.
Stupidity is worse than drunkenness, the difference is that the former goes away after sometime and the later stays permanently.
Waache ujinga wameshakuwa wakubwa sasa.
Upinzani una miaka 28 hadi sasa wanaendekeza tabia za kuzira? Acheni utoto mmekua nyie taifa linawategemea ku standard mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waondoke tu! Mbona waliondoka wakati Bunge linaanza na hakuna chochote kilichotokea?Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.
Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,
My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.
Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,
My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kimeishagawanyika!
Akina Lijua Kali watabaki tu bungeni
Bora wawepo maana dhulmaChama kimeishagawanyika!
Akina Lijua Kali watabaki tu bungeni
Ibara gani au umelishwa manenoKwa mtu anaye jua maana ya UPINZANI wala hawezi kushangaa maana kutoka nje ya UKUMBI WA BUNGE au "WALKOUT" ni takwa la Kikatiba.
WALKOUT inatumika katika Mabunge karibu yote duniani kama kielelezo ya KUPINGA UTAWALA ULIO MADARAKANI kama ISHARA YA KUPINGA UONEVU,MANYANYASO, UKANDAMIZAJI na UMINYWAJI WA DEMOKRASIA ..!
CHADEMA kama Chama Kikuu Cha Upinzani Bungeni kimepitia MADHILA mengi sana tokea 2016 todate! Hivo wana Haki ya kutoka nje unless JPM atoe tamko rasmi la kuwaomba msamaha Wapinzani.Vinginevo....[emoji23]