Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Haki ya kukwepa majukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako Sahihi 100% mtu aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura na ambaye hawakumtambua mwanzoni watamtambuaje mwishoni? utakuwa ni unafiki.
 
naunga mkono hoja kabisa

bwana bure
 
Lowasa alikubali hakukuwa na wizi na yeye ameunga juhudi kazi kubwa anaifanya jpm na ww unga juhudi hizi tuipeleke Tanzania mbele maana hata lowasa amewaambia muunge juhudi
Wako Sahihi 100% mtu aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura na ambaye hawakumtambua mwanzoni watamtambuaje mwishoni? utakuwa ni unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali gani wakati watu huja hapa kujifunza kila kitu kipo safi kama kwa mzee safi .Tanzania ni kinara wa demokrasia hapa Africa uliza uambiwe tatizo tangu uzaliwe hujawahi kutoka hapo mwika
Rejea neno nililosema tulikuwa na afadhali kabla ya awamu hii. Jinoe vizuri kwenye kiswahili boss ili ikusaidie kupunguza mihemko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ni hawa waliokuwa wanafukuzwa kila uchao,iweje leo iwe nongwa wakitoka kwa hiari yao? Hata ningekuwa mimi ningetoka!
 
Wanaoutuheshimu ni wale wenye rekodi mbaya kuliko sisi, nchi kama Somalia, Burundi nk.
alafu usipende kuipaka matope tanzania bwashee .
kwa east africa akuna nchi yenyekuheshimika kidiplomasia kama tanzania.tanzania ndo kituo cha kupatanisha migogoro yote ya nchi za maziwa makuu.
hao mabeberu wenyewe mnao waomba poo wanaipa salute tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipaswa kusema vichwa maji ni hawa wanaokimbia vikao kila siku na pia majimboni hawaonekani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetembelea majimbo yao ukakuta watoro? Kuna wabunge/mawaziri wa ccm yapata miaka hawajawahi kutia mguu bungeni huwasemi kwa nini? NB.Hakuna kupangiana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…