CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

You stupid MOFO. CCM mliiba uchaguzi kwa pesa za kodi za wananchi na kununua wapinzani kwa pesa za michango ya wahanga na kodi za wananchi pia.

Why are you so stupid MOFO? Why?
Kama wapinzani wenyewe ndio wapumbavu kama wewe, hakuna namna. Shurti muibiwe kura kuinusuru nchi
 
Mungu hapangiwi. Huyo umdhaniaye kuwa dhalimu aweza kuwa pazuri kuliko wewe na ukoo wenu wote mtakapowekwa baada ya kuiacha dunia hii.
Alikuwa dhalimu fullstop.
 
Naona kama ni mtu ambae unachuki na hayati Magufuli. Acha chuki kana kwamba alikudhulumu mke. Any way ulikosea kuwekeza pesa ukidhania utashinda ubunge.

Ni hivi, lilikuwa jizi la kura. Hutaki meza sumu.
 
Mboe mwaka 2015 alia humu humu jF baada ya EL kwenda CDM na tulipo anza kukizonga, akasema tukiendelea na mtindo ule cdm ingekufa. Na nilimjibu tuliijenga kwa vidole humu jF na tutaibomoa kwa vidole humu humujF. Mwenye akili na elewe.

Mbinu za KM na mwenezi wake enzi zile za kuimarisha chama kwa masinia ya ubwabwa maharagwe hazikufua dafu. Wanachama waliendelea kuficha jezi zao kwenye mifuko ya kondomo wakielekea na wakituka mikutanoni. Ndio sababu na wahurumia vilivyo wanao mchafua JPM leo.

Dr Slaa was brave alitumia sana madini ya jF enzi hizo. Haya mambo ni karama ya Mungu wa Mbinguni. Hii siri nafikiri alipa JPM.
Umeandika Nini mkuu? AISEE

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa dhalimu fullstop.
Kwako na ukoo wako, wala sina ubishi. Kwa baadhi alikuwa mtu wa Mungu. Fortunately, none of you'll influence how the Almighty will finally judge him.
 
Kwako na ukoo wako, wala sina ubishi. Kwa baadhi alikuwa mtu wa Mungu. Fortunately, none of you'll influence how the Almighty will finally judge him.

Ni kweli kabisa, kwa Kabudi, Polepole, Makonda, Sabaya and the likes alikuwa ni mtu wa mungu. Lakini kwetu wengine alikuwa ni ibilisi kama maibilisi wengine.
 
Lakini kwetu wengine alikuwa ni ibilisi kama maibilisi wengine.
Ndio maana nikaandika kuwa hatohukumiwa kutokana na alivyoonekana kwako na kwa ukoo wenu, bali kwa matendo yake mbele ya hakimu wa haki.
 
Back
Top Bottom