CHADEMA wamshangaa Komu kusubiri posho za ubunge, wajiandaa kumtosa

Mku ukumfukuza hujafanya kitu cha maana siatakimbilia mahakamani mpaka Oct alafu aingie kwenye uchaguzi kwa tiketi ya chama kingine? Wamuache tu asepe
 
Wachawi wanaumbuka baada ya kufunuliwa, ndio maana wanakimbia wenyewe kurudi kwao, kwa kiongozi mkuu Mhe J.Shetani wa Lumumba.
 
Hili suala la Mangi Komu, limenifanya kuwaza kuwa huenda Chadema Kuna Wabunge wengi vihiyo. Au ndo kusema CHADEMA na CCM Ni ndugu hivyo hata watu wao wanatabia zinazofanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…