johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa Sana πWajumbe wa uchaguzi mkuu wana CHADEMA wana choices mbili tu sasa. Kurudisha imani ya wapenda mabadiliko wote nchini (wengi ambao hawana kadi za CHADEMA) au kuendeleza status quo.
Hii ya pili ina madhara makubwa zaidi kwa chama moving forward maana huwezi kuwaambia watu eti "ukomo wa madaraka ni kila uchaguzi unapoitishwa" harafu hapohapo unapiga kelele kutaka Katiba mpya na kuwataka CCM waondoke kwa sababu "wamekaa muda mrefu sana bila kuleta maendeleo yoyote". Charity must begin at home.
Mjumbe anaweza kula takrima ya mtu X na bado akachagua mtu Y bila yule mtu X kumfanya chochote. Wakumbuke hili
Ndio ukweli. Ukiwasikiliza akina Yeriko na Ntobi unapata shida sana kuelewa wisdom ya Mbowe katika kuchagua watu wa kumpigia kampeni. Zero brains. Na hii inaakisi fikra za anayewatumaNimekuelewa Sana π
Huo ndiyo ukweli kuna saa pesa haina nguvuHizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana
Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lisu
Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila kutarajiwa
Ahsanteni Sana π
Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana
Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu
Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila kutarajiwa
Ahsanteni Sana π
Ili uaminike lazma uonyeshe mfano mpaka sasa cjaona point za mbowe kwa heshma yake ange kaa pembeni tuWajumbe wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA wana choices mbili tu sasa. Kurudisha imani ya wapenda mabadiliko wote nchini (wengi ambao hawana kadi za CHADEMA) au kuendeleza status quo.