CHADEMA wamtupa Wenje, sasa wanajadiliana ni nani Kati ya Mbowe na Lissu atafanya Kazi kiushirikiano zaidi na Heche

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana

Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu

Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila kutarajiwa

Ahsanteni Sana 😂
 
Wajumbe wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA wana choices mbili tu sasa. Kurudisha imani ya wapenda mabadiliko wote nchini (wengi ambao hawana kadi za CHADEMA) au kuendeleza status quo.

Hii ya pili ina madhara makubwa zaidi kwa chama moving forward maana huwezi kuwaambia watu eti "ukomo wa madaraka ni kila uchaguzi unapoitishwa" harafu hapohapo unapiga kelele kutaka Katiba mpya na kuwataka CCM waondoke kwa sababu "wamekaa muda mrefu sana bila kuleta maendeleo yoyote". Charity must begin at home.

Mjumbe anaweza kula takrima ya mtu X na bado akachagua mtu Y bila yule mtu X kumfanya chochote. Wakumbuke hili
 
Wenje na Mwenyekiti kwenye uchaguzi watawekwa pembeni kwa manufaa ya CDM
 
Wajumbe wa uchaguzi mkuu wana CHADEMA wana choices mbili tu sasa. Kurudisha imani ya wapenda mabadiliko wote nchini (wengi ambao hawana kadi za CHADEMA) au kuendeleza status quo.

Hii ya pili ina madhara makubwa zaidi kwa chama moving forward maana huwezi kuwaambia watu eti "ukomo wa madaraka ni kila uchaguzi unapoitishwa" harafu hapohapo unapiga kelele kutaka Katiba mpya na kuwataka CCM waondoke kwa sababu "wamekaa muda mrefu sana bila kuleta maendeleo yoyote". Charity must begin at home.

Mjumbe anaweza kula takrima ya mtu X na bado akachagua mtu Y bila yule mtu X kumfanya chochote. Wakumbuke hili
Nimekuelewa Sana 😂
 
Kwa Ufupi sana,

Nguvu ya kisiasa ya Tundu Lissu + Nguvu ya kisiasa ya John Heche = Mwenyekiti Tundu Lissu

==
Poleni sana Team Freeman Mbowe namba zinawakatili vibaya sana Kwakuwa hazidanganyi
 
Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana

Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu

Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila kutarajiwa

Ahsanteni Sana 😂

Abdul na Mama yake wamuongezee Dau. Pesa haijawahi kushindwa kazi.
 
wenje hata aliongea hivi unamwona ni ccm mdomoni mwake na rushwa tupu
 
Wajumbe wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA wana choices mbili tu sasa. Kurudisha imani ya wapenda mabadiliko wote nchini (wengi ambao hawana kadi za CHADEMA) au kuendeleza status quo.

Hii ya pili ina madhara makubwa zaidi kwa chama moving forward maana huwezi kuwaambia watu eti "ukomo wa madaraka ni kila uchaguzi unapoitishwa" harafu hapohapo unapiga kelele kutaka Katiba mpya na kuwataka CCM waondoke kwa sababu "wamekaa muda mrefu sana bila kuleta maendeleo yoyote". Charity must begin at home.

Mjumbe anaweza kula takrima ya mtu X na bado akachagua mtu Y bila yule mtu X kumfanya chochote. Wakumbuke hili
Ili uaminike lazma uonyeshe mfano mpaka sasa cjaona point za mbowe kwa heshma yake ange kaa pembeni tu
 
Mama Abdul mlango wa msalani haufungwi. Lissu na Heche wamvurugia tumbo
 
Back
Top Bottom