Pre GE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo unapenda ibaki CCM pekee? πŸ˜€
Kwani CHADEMA ina faida gani hata isipokuwepo? Kazi yao ni makelele tu. Sasa mawazo gani ya kuanza kutuambia habari za kutaka kila jimbo liwe na wabunge wawili? Ndio unachotaka hicho? Ndio mahitaji ya watanzania hayo?
 
sio tu, wana uchu wa madaraka, bali pia hawana uwezo wala umakini katika kuendesha kachama kao kadogo kwa maslahi ya wanachama wao bali wanazingatia zaidi maslahi yao binafsi, familia zao na matumbo yao πŸ’

hakuna mahali wanaendraaaπŸ’
 
Kwani CHADEMA ina faida gani hata isipokuwepo? Kazi yao ni makelele tu. Sasa mawazo gani ya kuanza kutuambia habari za kutaka kila jimbo liwe na wabunge wawili? Ndio unachotaka hicho? Ndio mahitaji ya watanzania hayo?
Jibu swali langu..... CCM ibaki pekee? .. hayo ya wabunge wawili ni maoni yao...kuna kukubaliwa au kukataliwa, hiyo sio hoja ya kusema wana makelele.
 
Naomba nifafanulie kwa ufupi ccm walipokuja na dhana ya vitti maalumu kwa wanawake katika ngazi ya udiwani mpaka ubunge walikua wanamaanisha nini uchu wa madaraka au dhana ya usawa katika jamii ?
 
Naomba nifafanulie kwa ufupi ccm walipokuja na dhana ya vitti maalumu kwa wanawake katika ngazi ya udiwani mpaka ubunge walikua wanamaanisha nini uchu wa madaraka au dhana ya usawa katika jamii ?
Jibu hoja yangu kwanza ya kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo kama ilivyo pendekezwa na CHADEMA. Je ndiyo mahitaji ya watanzania? Ndiyo kero za wananchi? Ndiyo watanzania wanachohitaji hicho? Kwanini ujinga na ushenzi huu umependekezwa na CHADEMA wakati wanajua hauna tija wala sababu wala hitajika wakati unaongeza gharama kwa mlipa kodi? Kwanini CHADEMA wanawaza tu kushibisha mimatumbo yao?
 
Wale waliopora uchaguzi mkuu 2020 wana uchu wa nini?!
Hakuna aliyepora uchaguzi wa 2020.aliyeshinda alishinda kwa uhalali na haki na walioshindwa kama CHADEMA walishindwa kihalali kwa kukosa sera na hoja za kuwaeleza watanzania ili wawapigie kura.
 
Jibu swali langu..... CCM ibaki pekee? .. hayo ya wabunge wawili ni maoni yao...kuna kukubaliwa au kukataliwa, hiyo sio hoja ya kusema wana makelele.
Wapiga kura ndio wataamua kama walivyoamua 2020 kwa kuinyima kura CHADEMA kutokana na kukosa sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania
 
Tangu CHADEMA watoe maoni yao jana. Basi jombaa umepanic hadi raha.

Wenye uroho wa madaraka wanaiba kura na wanatumia vyombo vya ulinzi na usalama kubakia madarakani...

Ongelea maendeleo mtambuka, siasa wewe ni mweupe tu
 
Hatuwezi kukaa kimya kwa mapendekezo ya kijinga yaliyotolewa na kuwasilishwa na CHADEMA yanayotaka kumbebesha mtanzania gharama zisizo na msingi wala tija yoyote ile zaidi ya kutaka kushibisha mimatumbo yao.
 
unajua maana ya kweli wewe. chadema imeanzishwa 1992, ccm 1977 na ndiyo inatawala nchi hadi leo. hapo mwenye uchu wa madaraka nani?
wakina wasira wanazeekea ccm wewe unashupaza makalio na chadema
chawa wewe
CCM ipo madarakani na itaendelea kusalia madarakani kwa miaka yote kutokana na uchapa kazi wake,ubora wa sera na ajenda zake zanazogusa maishaa ya watanzania ,pamoja na kufanya kazi kwa uaminifu na kwa bidii na uzalendo kwa kila kitu inachokuwa imewaahidi Watanzania katika ilani yake ya uchaguzi.
 
Hatuwezi kukaa kimya kwa mapendekezo ya kijinga yaliyotolewa na kuwasilishwa na CHADEMA yanayotaka kumbebesha mtanzania gharama zisizo na msingi wala tija yoyote ile zaidi ya kutaka kushibisha mimatumbo yao.
Mapendekezo ya kijinga kwa miswada ya kipumbavu. Bora kuwa mjinga unaweza kuelimika kuliko mpumbavu asiyeweza kubadilika

How about that?

Miswada ile ni mbeleko kwa CCM kuendelea kujimilikisha Tanzania. Halafu vijana wapuuzi wenye uchawa uliokubuhu ndo wanaitwa wazalendo...
 
Acha mawazo ya kishetani ewe uliyekosa adabu na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wako waliokulea.
Kwani nini unapenda sna kujipendekeza ccm na unaweka namba za simu... Peleka ujinga wako ccm haitaki majitu majinga.
 
Kwani nini unapenda sna kujipendekeza ccm na unaweka namba za simu... Peleka ujinga wako ccm haitaki majitu majinga.
Wewe ndiye jinga unayeshindwa kujenga hoja na kuishia kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu
 
Kwa hiyo kwa akili zenu ndogo na kijinga mlizonazo mnaona sawa kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo? ndio mahitaji ya watanzania hayo? Ndio majibu ya kero za wananchi hizo? Kwanini mnakuwa waroho wa madaraka nyie?
 
CCM ni genge la wapumbavu ndio maana laana inawaandama.
 
Wapiga kura ndio wataamua kama walivyoamua 2020 kwa kuinyima kura CHADEMA kutokana na kukosa sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania
Hapo sawa, sio kutoa hukumu moja kwa moja
Wapiga kura ndio wataamua kama walivyoamua 2020 kwa kuinyima kura CHADEMA kutokana na kukosa sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania
Kwani 2020 waliamua au aliamuliwa?.... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…