Uchaguzi 2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

Pasco nikutaarifu tu kuwa walioomba kuteuliwa urais Chadema wapo 12.

Wapo wengine utawasikia leo na ile sredi yako ambayo ndiyo sredi yako ya kwanza mimi kutoifungua kwakuwa najua ulibwabwaja utaenda kuifuta!
Kama jina la Mwamba limo kwenye orodha, hayo majina mengine hayana maana ye yote.
 
View attachment 1481143

Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema .

Mungu ibariki Chadema
Tunashukuru kwa taarifa. Mtoe na mrejjesho wa waliomshambulia Mbowe mkitaja na aliokuwa nao. Kinyume chake, tutakubaliana na ripoti ya Polisi na mmshaur ndugu Mwenyekiti aache pombe.
 
Leo hawaongei na taifa wanaongea na waandishi wa habari [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina 11 ya wanachama waliojotokeza kuchukua fomu kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni siku 12 tangu kufunguliwa mchakato huo.
c5eb72ac80efbae45be5b23621628f0b

Akitaja majina hayo katika Makao Makuu ya Chama hicho ,Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho ,Tumaini Makene amewataja kuwa ni pamoja na watu 11 waliotia nia Urais Chadema, Isaya Mwita, Tundu Lissu, Peter Msigwa, Wakili Nikodemus Gaspar, Naro Opio.

Wengine ni Wakili Richmund Simba, Lazaro Nyalandu na Shabani Msafiri, Dkt Majinge Maryrose, Manyama Leornard na Freeman Mbowe
 
CHADEMA LOGO.

Timu ya mpira!
 
Mungu ibariki chadema na mungu ibariki kamati kuu ya chadema ikaje na majina matatu ya watu ili mkutano mkuu ukawaletee watanzania chaguo sahihi kwenye uchaguzi wa mwaka huu...

Nikiwa Kama Mjumbe wa mkutano mkuu na Mjumbe wa baraza kuu nasema lazima tuje na jina ambalo ni ndoto ya kila mtanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
 
Siku moja tu baada ya Lisu kutumia masaa 4 akiwahutubia watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu wasiojulikana, kisha kukanyagwa kanyagwa na kuvunjwa mguu wa kulia bila mtoto wake James aliyekuwa ndani kusikia chochote ,badala yake akasikia Joyce Mkuya aliyekuwa umbali wa kilomita
5!!

Lengo la hili igizo ilikuwa ni kufunika habari ya Lissu kuandikwa na vyombo vya habari.

Kana kwamba haitoshi Mbowe baada tu ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,huku akichechemea akatangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania!

Yani watanzania wakiwa na hamu ya kusikia report kutoka kwa Mbowe mwenyewe kwamba alivamiwaje, ilikuwaje ,badala ya kujibu hizo hoja ,yeye akaja na igizo jingine la kwamba kuna wazee wameenda nyumbani kwake kumshawishi awanie urais wa Tanzania!!.

Hivi Lisu unataka ufanyiwe nini ndiyo ujue kwa sasa hauhitajiki Chadema?
Haya maigizo ya mwenyekiti wako wa chama kufunika utangazaji wako nia hayajakuamsha tu?.

Shituka
 
Nawaza ,hivi chadema hawawezi wakahangaika na kupambana ili wapate japo wabunge wawili kuliko kuhangaika na kitu ambacho hawakiwezi, Urais kwao ni level za juu sana,itawachua miaka 100 kutoa rais

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Baada ya JPM kuchukua form.
In absence of ccm makini hakuna Tanzania imara, wote walisubiri ccm aongoze ndiyo wengine wafuate hata matokea huwaga yanakuwa hivyo ni ccm kwanza wengine baadae.
"Wengine waoga, hawajiamini, hawana uthubutu, wanakimbia changamoto kama vile Corona"by JPM jana Dodoma
Kimbilio likiwa Burigi- Chato!
 
Wengine waliokuwa wabunge wameingia humo kama njia ya kutoka kwenye kinyang'anyiro cha ubunge majimboni maana wanajua huko hawatapata kitu.
 
Back
Top Bottom