Kama jina la Mwamba limo kwenye orodha, hayo majina mengine hayana maana ye yote.Pasco nikutaarifu tu kuwa walioomba kuteuliwa urais Chadema wapo 12.
Wapo wengine utawasikia leo na ile sredi yako ambayo ndiyo sredi yako ya kwanza mimi kutoifungua kwakuwa najua ulibwabwaja utaenda kuifuta!
Mwamba tuvusheKama jina la Mwamba limo kwenye orodha, hayo majina mengine hayana maana ye yote.
Tunashukuru kwa taarifa. Mtoe na mrejjesho wa waliomshambulia Mbowe mkitaja na aliokuwa nao. Kinyume chake, tutakubaliana na ripoti ya Polisi na mmshaur ndugu Mwenyekiti aache pombe.View attachment 1481143
Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema .
Mungu ibariki Chadema
Mkuu una bahati mbaya kila upande unaochagua unapoteza,Tunasubiria kwa hamu.
P
Timu ya mpira!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina 11 ya wanachama waliojotokeza kuchukua fomu kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni siku 12 tangu kufunguliwa mchakato huo.
CHADEMA LOGO.
Akitaja majina hayo katika Makao Makuu ya Chama hicho ,Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho ,Tumaini Makene amewataja kuwa ni pamoja na watu 11 waliotia nia Urais Chadema, Isaya Mwita, Tundu Lissu, Peter Msigwa, Wakili Nikodemus Gaspar, Naro Opio.
Wengine ni Wakili Richmund Simba, Lazaro Nyalandu na Shabani Msafiri, Dkt Majinge Maryrose, Manyama Leornard na Freeman Mbowe
Mungu ibariki chadema na mungu ibariki kamati kuu ya chadema ikaje na majina matatu ya watu ili mkutano mkuu ukawaletee watanzania chaguo sahihi kwenye uchaguzi wa mwaka huu...Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina 11 ya wanachama waliojotokeza kuchukua fomu kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni siku 12 tangu kufunguliwa mchakato huo.
CHADEMA LOGO.
Akitaja majina hayo katika Makao Makuu ya Chama hicho ,Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho ,Tumaini Makene amewataja kuwa ni pamoja na watu 11 waliotia nia Urais Chadema, Isaya Mwita, Tundu Lissu, Peter Msigwa, Wakili Nikodemus Gaspar, Naro Opio.
Wengine ni Wakili Richmund Simba, Lazaro Nyalandu na Shabani Msafiri, Dkt Majinge Maryrose, Manyama Leornard na Freeman Mbowe
Kwani unafikiri hawajui BasiWanajifurahisha tu, Rais ni JPM mpaka 2025.
Na yule aliechukua peke yake ni bondia?Timu ya mpira!
Kimbilio likiwa Burigi- Chato!Baada ya JPM kuchukua form.
In absence of ccm makini hakuna Tanzania imara, wote walisubiri ccm aongoze ndiyo wengine wafuate hata matokea huwaga yanakuwa hivyo ni ccm kwanza wengine baadae.
"Wengine waoga, hawajiamini, hawana uthubutu, wanakimbia changamoto kama vile Corona"by JPM jana Dodoma
Akijibu nistue !Na yule aliechukua peke yake ni bondia?
Mwambie Murrotto aachie CCTV CameraTunashukuru kwa taarifa. Mtoe na mrejjesho wa waliomshambulia Mbowe mkitaja na aliokuwa nao. Kinyume chake, tutakubaliana na ripoti ya Polisi na mmshaur ndugu Mwenyekiti aache pombe.
Kasubiri CCM Magu kachukua fomu leoTunasubiria kwa hamu.
P