[emoji58][emoji58]Chadema ilikuwa imeshaondoka kwenye siasa za kiuanaharakati na kuwa chama kinachjiandaa kushika dola.Kuja kwa Lissu kumerudisha chama miaka 10 nyuma.Lazima kuachana naye
Badala ya kuwablock ungejiondoa JF ili kuwakomoa kabisa! Ahahahahahahahah!Leo nime prove kuwa wewe nawe ni wa hovyo kama wenzako! What kind of analysis is that? Kuna watu nimewapiga block kuepuka kupoteza muda kusoma rubbish! You are the next!
IgnoreBadala ya kuwablock ungejiondoa JF ili kuwakomoa kabisa! Ahahahahahahahah!
Mdee oyeeeeee!!!!Ignore
Shangaa anawataka tena wachelewesha maendeleo sijui wa nini?Tumetekeleza kwa kishindo, kazi inaendelea! "Ikifika 2020, upinzani Tanzania utakuwa umefutika!" "Tumecheleweshwa sana, ndugu zangu!" ~ Dkt. JPM.
Na ukisikia katikati ya maneno ya Mdee kiongozi pekee Chadema aliyemtaja ni Mbowe.Uko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Hatushangilii wabunge wa chadema ujue, sisi tunao wengi mno tulishawashangilia tukatosheka.Wabunge ni CHADEMA lakini wanaoshangilia ni CCM
Nyumbu hawafikirii kabisa, kila linalotokea wanasahau hawana kumbukumbu kabisaaa.Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe
Mungu asaidie mavipande yasitokee. Angalau tuvipande tutakuja ungar na patexUko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
c) Lazima umwachie makovu makubwa (in his body politics and leadership) ambayo akitaka kuyatibu haraka basi makovu hayo yatamuuwa.Chadema ipo ICU na endapo hawatawavua uanachama hao watumwa wa kike waliouzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani watambue kuwa chadema inafariki ijumaa na ndiyo mwisho wake kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema tena watabakiwa na mazezeta kwani hakuna mtu anaupenda upumbavu huo
Kwani yupo Ikulu ipi ya Champion au Magogoni?Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe.
Champion ndo wapi?Kwani yupo Ikulu ipi ya Champion au Magogoni?
Champion =ChamwinoChampion ndo wapi?