CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

Jambo la kuchekesha eti Watu CCM waliowaita wapinga maendeleo na wasohitajika bungeni leo hii mnafurahi wanaenda bungeni kupitia mlango w nyuma! Nilisema jana ikitokea mfano harusi ya mwanafamilia wako ikafana na majirani kuonekana ndio wana furaha sana kuliko wanafamilia hapo lazima kuna tatizo ! Tafakari hayo
 
Ccm mnahaha humu ndani wengi tuliamia chadema kwa sababu ya lisu na sio akina mbowe
 
Chadema ilikuwa imeshaondoka kwenye siasa za kiuanaharakati na kuwa chama kinachjiandaa kushika dola.Kuja kwa Lissu kumerudisha chama miaka 10 nyuma.Lazima kuachana naye
[emoji58][emoji58]
FB_IMG_16040016674361663.jpg
 
Mungu fundi sana,kutoka kwenye mipango ya kuivuruga nchi mpaka kutiana vidole machoni wao kwa wao!
Sijamsikia Amsterdam siku mbili hizi
 
Hopeless contribution. Bila mfumo ulio huru na wa haki, CHADEMA kutopata au kupata wabunge kutategemea Magufuli ameamkaje siku ya uchaguzi, na kama Watanzania wataendelea kuvumilia uchafu uliopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumetekeleza kwa kishindo, kazi inaendelea! "Ikifika 2020, upinzani Tanzania utakuwa umefutika!" "Tumecheleweshwa sana, ndugu zangu!" ~ Dkt. JPM.
 
Uko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Na ukisikia katikati ya maneno ya Mdee kiongozi pekee Chadema aliyemtaja ni Mbowe.

...... nakishukuru chama changu......namshukuru mwenyekiti wangu....

Kwanini sio katibu au uongozi wa chama?

Kuna kitu hapa
 
Wabunge ni CHADEMA lakini wanaoshangilia ni CCM
Hatushangilii wabunge wa chadema ujue, sisi tunao wengi mno tulishawashangilia tukatosheka.

Tunachoshangilia ni hilo sinema linaloendelea wakati hata star au stelingi hajulikani ni nani. Mara Mnyika, Mbowe mara Mdee. Hiyo movie sasa ndio tunaishangilia
 
Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe
Nyumbu hawafikirii kabisa, kila linalotokea wanasahau hawana kumbukumbu kabisaaa.
Leo Kuna nyumbu bado wanaona Lissu ni chaguo la mungu! Huyo Lissu ni chaguo la beberu lake Amsterdam na nyumbu tu, Mungu hajawahi kumchagua huyo mbwatukaji.
 
Uko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Mungu asaidie mavipande yasitokee. Angalau tuvipande tutakuja ungar na patex
 
Chadema ipo ICU na endapo hawatawavua uanachama hao watumwa wa kike waliouzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani watambue kuwa chadema inafariki ijumaa na ndiyo mwisho wake kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema tena watabakiwa na mazezeta kwani hakuna mtu anaupenda upumbavu huo
c) Lazima umwachie makovu makubwa (in his body politics and leadership) ambayo akitaka kuyatibu haraka basi makovu hayo yatamuuwa.

THE ART OF POLITICAL WAR.
 
Back
Top Bottom