Jambo la kuchekesha eti Watu CCM waliowaita wapinga maendeleo na wasohitajika bungeni leo hii mnafurahi wanaenda bungeni kupitia mlango w nyuma! Nilisema jana ikitokea mfano harusi ya mwanafamilia wako ikafana na majirani kuonekana ndio wana furaha sana kuliko wanafamilia hapo lazima kuna tatizo ! Tafakari hayo