Tafakari kidogo. Katika nchi hizo rais si "kiongozi wa taifa". (halafu mama yule wa Ujerumani anaitwa MErkel, si MArkel). Malkia wa Uingereza anasoma bungeni hotuba iliyo andikwa na waziri mkuu (hivyo ameshasoma: Uingereza inajiunga na Ulaya , baadaye: Uingereza inaondoka Ulaya, kodi juu, kodi chini...).Angela Markel sio kiongozi wa Ujerumani, Ujerumani inayo Rais ambaye ndiye mkuu/Kiongozi wa nchi. Markel ni kiongozi wa Serikali kama alivyo Netanyahu, alivyo Johnson.
Mbona unazunguka sana mkuu. Labda nisaidie Frank-Walter Steinmeier ana wadhifa gani Ujerumani? Na Angela Merkel naye ana wadhifa gani?Tafakari kidogo. Katika nchi hizo rais si "kiongozi wa taifa". (halafu mama yule wa Ujerumani anaitwa MErkel, si MArkel). Malkia wa Uingereza anasoma bungeni hotuba iliyo andikwa na waziri mkuu (hivyo ameshasoma: Uingereza inajiunga na Ulaya , baadaye: Uingereza inaondoka Ulaya, kodi juu, kodi chini...).
Pale Ujeruani ni chansela (=waziri mkuu) anayeamuru mwelekeo wa siasa. Raisi hana neno katika siasa. Anaangalia tu, kama katiba inafuatwa, anamteua mwanasiasa kama chansela tu kama wabunge wanashindwa kufikia suluhisho.
Huyu hajamuacha Markel, kaondoshwa na Mungu, bila hivyo angelikuwa wa maishaKiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005
Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha
John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha
Samia Suluhu Hassan kamkuta
Huko duniani kafanya kazi na:-
Marais 4 wa Marekani,
Mawaziri Wakuu 2 wa Canada,
Mawaziri Wakuu 3 wa Japan,
Marais 4 wa Ufaransa
Mawaziri 5 wa Uingereza na
Mawaziri 10 wa Italia
NA MWENYEKITI MMOJA WA CHADEMA KAMANDA MBOWE
Katiba ya Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani haijawahi kubadilishwa ili kumuongezea Chancellor Merkel muda.Hivi kwa nini wamarekani hawawakemei Ujerumani kwenye hilo la katiba kubadilishwa ili kumuongezea yule kikongwe muda wa kuongoza
Frank-Walter Steinmeir ni Raisi wa Jamhuri ya Shirikisho la UjerumaniMbona unazunguka sana mkuu. Labda nisaidie Frank-Walter Steinmeier ana wadhifa gani Ujerumani? Na Angela Merkel naye ana wadhifa gani?
Maneno matupu vp? Jitihada za CDM hua zinaoneka iwe bungeni ama nje ya bunge. Au ulitaka wapigane??CHADEMA iwe more democratic than rhetoric
Nani ni Mkuu wa dola/nchi/taifa la Ujerumani? ndilo swali naona unatoa job descriptions.Frank-Walter Steinmeir ni Raisi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani
Mamlaka:-
*Kumpendekeza waziri mkuu (chancellor) bungeni,
*Kumteua na kumtengua Chancellor pamoja na mawaziri wa wizara nyingine,
*Kulivunja bunge,
*Kutangaza hali ya dharura bungeni katika hali fulani
*kuitisha bunge
*Kusaini na kutangaza sheria au kupiga kura ya turufu (veto) katika hali fulani
*Kuteua na kufukuza kazi majaji wa shirikisho, wafanyikazi wa serikali, na maafisa walioamriwa na wasioamriwa wa Jeshi
*Mamlaka ya kutangaza msamaha kwa wafungwa kwa niaba ya Shirikisho
*Kutoa tuzo kwa niaba ya Shirikisho
* Na kuiwakilisha Ujerumani nje na ndani ya nchi
Kwa lugha nyepesi raisi anasimamia sheria na katiba ya nchi
Angela Merkel ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani
Mamlaka:-
# Mkuu wa serekali
# Mtendaji mkuu wa Ujerumani
# Amiri jeshi mkuu wa vikosi vya kijeshi vya Ujerumani wakati wa vita
Katiba ya Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani imeweka mamlaka mapana kwa Chancellor kuanzisha sera ya serekali. Kwa sababu hio baadhi ya waangalizi huuita mfumo wa kisiasa wa Ujerumani kama 'demokrasia ya Chancellor'.
Kaka unatumia kompyuta, Umewahi kufungua Wikipedia au Google search?Mbona unazunguka sana mkuu. Labda nisaidie Frank-Walter Steinmeier ana wadhifa gani Ujerumani? Na Angela Merkel naye ana wadhifa gani?
Asante, umejitahidi lakini katika tafsiri yako kuna makosa kidogo. Rais wa Ujerumani haweziFrank-Walter Steinmeir ni Raisi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani
Mamlaka:-
*Kumpendekeza waziri mkuu (chancellor) bungeni,
*Kumteua na kumtengua Chancellor pamoja na mawaziri wa wizara nyingine,
*Kulivunja bunge,
*Kutangaza hali ya dharura bungeni katika hali fulani
*kuitisha bunge
*Kusaini na kutangaza sheria au kupiga kura ya turufu (veto) katika hali fulani
*Kuteua na kufukuza kazi majaji wa shirikisho, wafanyikazi wa serikali, na maafisa walioamriwa na wasioamriwa wa Jeshi
*Mamlaka ya kutangaza msamaha kwa wafungwa kwa niaba ya Shirikisho
*Kutoa tuzo kwa niaba ya Shirikisho
* Na kuiwakilisha Ujerumani nje na ndani ya nchi
Kwa lugha nyepesi raisi anasimamia sheria na katiba ya nchi
Angela Merkel ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani
Mamlaka:-
# Mkuu wa serekali
# Mtendaji mkuu wa Ujerumani
# Amiri jeshi mkuu wa vikosi vya kijeshi vya Ujerumani wakati wa vita
Katiba ya Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani imeweka mamlaka mapana kwa Chancellor kuanzisha sera ya serekali. Kwa sababu hio baadhi ya waangalizi huuita mfumo wa kisiasa wa Ujerumani kama 'demokrasia ya Chancellor'.
Yote haya sipingani nayo wala sijui yanahusiana nini na nilichokisema. Nilichosema mimi ni kuwa Frank ndiye Head of the State na Angela ni Head of the government.Kaka unatumia kompyuta, Umewahi kufungua Wikipedia au Google search?
Rais wa Ujerumani ni mkuu wa dola katika Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.
Kazi yake ni kuwa alama ya umoja wa taifa, lakini katika mfumo wa serikali ya kibunge nchini Ujerumani hana madaraka mengi. Madaraka muhimu ya kisiasa ni kama yafuatayo
- rais anapaswa kutia sahihi kwa kila sheria iliyopitishwa bungeni. Hapa anaweza kukataa akiona sababu muhimu ya kwamba sheria hailingani na katiba. Akikataa bunge ina njia ya kusahihisha sheria au kumshtaki rais mbele ya mahakama kuu. Tangu 1949 maraisi wa Ujerumani walikataa mara 9 kutia sahihi wakalazimisha serikali na bunge kubadilisha sheria.
- rais anaamua kama bunge inavunjwa baada ya chansella kushindwa katika swali la imani katika serikali; chansella kama kiongozi wa serikali anaweza kudai kura ya bunge kama ina imani katika serikali. Kama swali hili linakataliwa na wabunge wengi chansella anaweza kumwomba rais kuvunja bunge na uchaguzi wa bunge jipya. Lakini azimio liko mkononi mwa rais anayeweza kumteua kiongozi mwingine atakaye jaribu kuunda serikali mpya.
Ahsante sana kwa kutoa maelezo ya kina, sijakosea ila nilifupisha maelezo. Kila kitu nilichoandika kipo sawa ila katika mamlaka hayo Kuna mazingira yake na sio jumlajumla. Mgawanyo wa madaraka Ujerumani ni mzuri sana, Chancellor ana mamlaka mapana kuliko raisi, lakini kiprotokali Raisi ni wa kwanza akifwatiwa na raisi wa bunge ndo aje Chancellor.Asante, umejitahidi lakini katika tafsiri yako kuna makosa kidogo. Rais wa Ujerumani hawezi
* "Kumteua na kumtengua Chancellor pamoja na mawaziri" - si azimio lake; rais anampendekeza kiongozi bungeni akiona ana wabunge wa kutosha, baadaye bunga linachagua na rais anapaswa kumteua, pia kumtengua KAMA bunge limeamua dhidi yake.
*Kulivunja bunge ni haki kwa hali maalum pekee kama bunge limeshindwa kumchagua chansela
*kuitisha bunge hapa hana mamlaka
*Kuteua na kufukuza kazi majaji wa shirikisho, wafanyikazi wa serikali, na maafisa walioamriwa na wasioamriwa wa Jeshi Hawezi kufukuza watu. Anatia sahihi kwenye hati za kuteua na kutengua, lakini haamui. Maazimio ni ya watu wengine kufuatana na sheria mbalimbali na katiba.
Mamlaka kuu ya raisi wa Ujerumani ni wakati asilimia 51 za wabunge hazipatikani kumchagua chansela. Hapa ni azimio la rais kama anamkubali chansela mwenye kura nyingi (lakini chini ya nusu ya wabunge) au kama anaamuru uchaguzi mpya wa bunge. haikutokea bado tangu mwanzo wa Jamhuri mwaka 1949.
Na Rais wao ni Mkuu wa nini?Mkuu wa nchi na serikali ni Chancellor