Tetesi: CHADEMA wanapambana kuiomba CCM wampe Tundu Lissu nafasi ya Umakamu ili waunde Serikali ya mseto

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,

Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.

My Take

Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??

Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.

Acheni ndoto za alinacha.
 
chadema inawatu makini haiwezi kushirikiana na wauaji na huyo lisu mtamuachia mtakemsitake.
 
CHADEMA hapa imeingiaje brother.🤔
 
Wakamwombe kwanza msamaha jasusi la bamia Yericko Nyerere kwa kumtukana. Laana ya jasusi la bamia inawatafuna
 
Akili yako imejaa mavi 🚮🚮🚮.
 
Wewe ulishindwa kuzuia gesi NTWARA ndiyo utaweza mambo ya CDM?
 
alafu umeonesha upeo wako mdogo sana. Makamo wa rais anachaguliwa kwa kufuata katiba na sheria sio kiholela.
 
Sio rahisi kiviiiiile!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…