Tetesi: CHADEMA wanapambana kuiomba CCM wampe Tundu Lissu nafasi ya Umakamu ili waunde Serikali ya mseto

Habari za uongo kabisa.
Heche na Lissu hawawezi hata kidogo kuwatumbukiza Watanzania kwenye dimbwi la UDHALIMU.

Shauri lako zubaa zubaa.

Lisu familia yake iko ulaya yeye yupo bongo anachochea watu wafanye vurugu kwa maslahi yake.

Usiingie kwenye huo mtumbwi wa vibwengo wa chadema
 
Friends and Our Enemies,

Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,

Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.

My Take

Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??

Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.

Acheni ndoto za alinacha.
mjinga jinga hata kudanganya hujui
 
Huyo hatumtaki .
 
'Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi wala kuaminika kwake'.....Jaji Ndunguru
 
Ww jamaa mbona taka taka sana yaani bila kuitaja chadema hujisikii vzr yaani kajiuzulu nchimbi ww mdomo wako huo kama kalai la chipsi unawaza tu kuimention chadema na lisu badilika ww kubongo lala
 
Friends and Our Enemies,

Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,

Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.

My Take

Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??

Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.

Acheni ndoto za alinacha.
Watu sio zero kama wewe, sema sisiemu wanataka iwe hivyo kama sehemu ya maridhiano, kutokana na Hali halisi ya MO29.
 
Hizo ndoto sahau

Chadema ni chama kilichokufa

Chadema imeondoka na mbowe
 
Friends and Our Enemies,

Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,

Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.

My Take

Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??

Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.

Acheni ndoto za alinacha.
Pasina kuambatanisha supporting facts ya hizo 'tetesi' hii post in uchoko hundred percent.
 
Friends and Our Enemies,

Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,

Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.

My Take

Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??

Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.

Acheni ndoto za alinacha.
Na Wewe unaona umeleta bonge la habali zuzu zuzu tuu
 
Friends and Our Enemies,

Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,

Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.

My Take

Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??

Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.

Acheni ndoto za alinacha.
Nchi hii imejaa mijitu mijinga tele tele
 
We ni takataka
 
Back
Top Bottom