Friends and Our Enemies,
Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,
Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.
My Take
Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??
Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.
Acheni ndoto za alinacha.
Ungesema wanapambana ipatikane katiba mpya,time huru ya uchaguzi kupitia katiba mpya na uchaguzi uitishwe upya kila moja angekuelewa ila sii porojo unazozileta humu.🤔Friends and Our Enemies,
Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,
Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.
My Take
Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??
Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.
Acheni ndoto za alinacha.
Shida ya chama chetu linaanzia hapa badala ya kuangalia tatizo lipo wapi ndani na nje ya chama,ili tulipatie ufumbuzi tunatumia staili ya funika kombe mwanaharamu apite,na tunajifanya kama hamna tatizo, kwani kujiuzuru kwa Nchimbi inatokana na Lissu au CDM?
Hii tetesi yako nyeupe sanaHabari ndiyo hiyo sasa
Heche yuko mbio mbio
Ukisikia kujipiga dole na kunusa ndio hii sasa.Friends and Our Enemies,
Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,
Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi na upatikanaji wa katiba mpya na kadhalika.
My Take
Kumbe kinachowasumbua ni Njaa tuh??
Huyo Jamaa yenu ana kesi ya kujibu suala la serikali ya nusu mkate hapa ni Tz siyo Kenya.
Acheni ndoto za alinacha.
Wanatafuta mtu wa kufa nae. Ignore himCHADEMA hapa imeingiaje brother.🤔
SiaminiChadema ni waganga njaa tuh
Wewe tatizo hilo la uwendawazimu kumbe linazidi kuongezeka badala ya kupungua!!Habari ndiyo hiyo sasa
Heche yuko mbio mbio