Tetesi: CHADEMA wanapambana kuiomba CCM wampe Tundu Lissu nafasi ya Umakamu ili waunde Serikali ya mseto

Ungesema wanapambana ipatikane katiba mpya,time huru ya uchaguzi kupitia katiba mpya na uchaguzi uitishwe upya kila moja angekuelewa ila sii porojo unazozileta humu.🤔
 
Shida ya chama chetu linaanzia hapa badala ya kuangalia tatizo lipo wapi ndani na nje ya chama,ili tulipatie ufumbuzi tunatumia staili ya funika kombe mwanaharamu apite,na tunajifanya kama hamna tatizo, kwani kujiuzuru kwa Nchimbi inatokana na Lissu au CDM?
 

Chadema ni waganga njaa tuh
 
Moderate ondoa mavi haya. Kanya anatuachia harufu pambaneni na mambo yenu huko ccm
 
Ulipovulia Kobazi kujiunga swala ya Maulidi ulimalizia Kuvua na akili zilizo salia..
 
Kwani ya Nchimbi mmemalizana nayo?
 
Ukisikia kujipiga dole na kunusa ndio hii sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…