Mkamanga junior
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 159
- 225
Nakupinga vibaya sana !Mimi Nafikiri kukimbia ni mbinu ambayo kwa miaka yote haijatusaidia sana! Umefika wakati wa kucheza nao game lao! Kwanza tupeleke wanawake mashujaa, pili tuanze kupandikiza watu wetu kila idara muhimu! Tupenyeze watu kwenye system yao wakakipasue chama huko huko kama wao walivyo leta wa kwao kina Lowasa! Tusipo tumia hii formula yao tutakua wa kupigwa kila mwaka!
Nakuelewa, lakini ujue siyo kwamba nakubali dhuluma! Mimi natoa ushauri tu kwamba ninyi majembe kwasababu kuna hizi fursa chache muende kule mkakwamishe hata jambo moja tu baya walilo kusudia.Nakupinga vibaya sana !
"Knee-me-war-sea-key-a mme-sir-how mna-cha-tea kwa sir-u-tea huku m-key-war laivu car-bee-sir!"Nakuelewa, lakini ujue siyo kwamba nakubali dhuluma! Mimi natoa ushauri tu kwamba ninyi majembe kwasababu kuna hizi fursa chache muende kule mkakwamishe hata jambo moja tu baya walilo kusudia. Alafu tuunge juhudi ‘kinafiki’ kama wao lakini kwa malengo! Hizi njia zetu zimebuma, tuwapige kwa game yao!
Tuwekeze kwenye taasisi zote nyeti! Kwa wananchi, people’s power, CHADEMA ni msingi, sijui oparesheni gani hayujafanya?! Tubadili mbinu!!
Haitasaidia, ni kuwaachia bunge lao. Hii miaka mitano tutakapopata kibano akili itawakaa sawa,tusijidanganye tunaweza kuishi bila dunia. Fikiria Zitto alivyozuia tu fedha za wahisani trilioni kelele zilivyokuwa nyingi. Je fikiria sasa msaada yote ifungwe, mashirika na taasisi za nje waondoke,hata hao wabunge wenyew hawatakuwa na furaha.Mimi Nafikiri kukimbia ni mbinu ambayo kwa miaka yote haijatusaidia sana! Umefika wakati wa kucheza nao game lao! Kwanza tupeleke wanawake mashujaa, pili tuanze kupandikiza watu wetu kila idara muhimu! Tupenyeze watu kwenye system yao wakakipasue chama huko huko kama wao walivyo leta wa kwao kina Lowasa! Tusipo tumia hii formula yao tutakua wa kupigwa kila mwaka!
Kama kuna mbunge Yeyote wa "saccos" aliyeshindwa kwa kura za maruhani anaruhusiwa kwenda mahakamani, mbona hawaendi?? Na wazi wameshindwa kihalali ndio maana wamekaa kimya na kuishia kufunga cinema na kura wanazodai ni za "Raisi" ambazo ni "fake", mbona na si za "ubunge"Kushiriki bunge hili ni sawa na kushiriki karamu ya kula nyama za watu-Chadema wasikubali uwendawazimu huo!