Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,724
- 2,855
Huo mbinyo unagusa CCM peke yao au na ninyi chadema mtakuwa mmeguswa?
Kuna mwananchi aliwapigia kura lakini akipata shida na ikaonekana chanzo ni ushawishi wa chadema atawasubiri kwenye box la kura awafute kabisa tanzania, na ndo mtajua ujinga wenu ni hasara kwenu.