CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

Ni mpumbavu pekee ambaye hakuona wizi wa kura na hujuma zilizofanyika.
Tuliokuwa wasimamizi wa uchaguzi tumeshuhudia kwa macho kura zikijazwa bila kuhesabiwa kwenye fomu za matokeo tena kwa mtutu wa bunduki
Katoe ushahidi mahakamani sio kubwabwaja mitaani
 
Ni mpumbavu pekee ambaye hakuona wizi wa kura na hujuma zilizofanyika.
Tuliokuwa wasimamizi wa uchaguzi tumeshuhudia kwa macho kura zikijazwa bila kuhesabiwa kwenye fomu za matokeo tena kwa mtutu wa bunduki
Sasa wewe hujioni kwamba ni mpumbavu square kama hujui tatizo kama hili lina pelekwa wapi ???
 
ICC ndio suluhisho kama Lissu haendi huko atakuwa CCM B
 
CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni.

Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha.

Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo mkubwa wa kiichumi.

Hakuna nchi iliyofanikiwa kuvuka vikwazo bila kuomba poo na kurudi kwenye meza ya maridhiano,hata hao wanaosema tunaweza, kuishi bila wao,wanajisahaulisha.wafuatilie historia ya Rais wa Nicaraguay.
Upinzani wanatuchelewesha kuleta MAENDELEO.maendeleo hayana chama
 
Ni mpumbavu pekee ambaye hakuona wizi wa kura na hujuma zilizofanyika.
Tuliokuwa wasimamizi wa uchaguzi tumeshuhudia kwa macho kura zikijazwa bila kuhesabiwa kwenye fomu za matokeo tena kwa mtutu wa bunduki
Baada ya "key-key" yenu ya vitisho kwenye "come-pen-knee" za uchaguzi kubuma "v-buy-a, sir-sir" naona mmeanza kugeuka na kubadili gia angani na "ku-sea-ngizia" eti sijui kulikuwa na mtutu wa bunduki kwenye vituo vya uchaguzi. Kwani mlipokuwa mnasema mtalinda kura zenu kwa gharama yoyote??? "Car-mar" mmeshindwa kulinda kura zenyewe "two," nani ataweza "bar-sea ku-war-a-mean-knee" na "ku-war-per-tea-a" dhamana ya uongozi ya kuwalinda "War-tar-nza-knee-a" na mali zao???
 
Mimi Nafikiri kukimbia ni mbinu ambayo kwa miaka yote haijatusaidia sana! Umefika wakati wa kucheza nao game lao! Kwanza tupeleke wanawake mashujaa, pili tuanze kupandikiza watu wetu kila idara muhimu! Tupenyeze watu kwenye system yao wakakipasue chama huko huko kama wao walivyo leta wa kwao kina Lowasa! Tusipo tumia hii formula yao tutakua wa kupigwa kila mwaka!
Inapokuja issue ya kutatua mgogoro ndani ya ccm, chama hukaa pembeni na serekali kusimama. Ukiitenganisha CCM na serekali kazi itakuwa imekwisha. CCM na serekali ni samaki kwenye maji. Nje ya maji ataishi kwa muda mfupi sana
 
Upinzani wanatuchelewesha kuleta MAENDELEO.maendeleo hayana chama
Hivi hamuoni aibu kuwasingizia wapinzani wapinzani hawajawahi kukusanya kodi tangu kupata Uhuru ccm na serikali yake ndo imekuchelewesha miaka 60 maendeleo umeona spika wenu anavyowatafuta wapinzani angalia Dodoma imecheleweshwa na nano tangu kupata Uhuru ni ccm imetawala punguzeni uonezi basis japo kidogo
 
Msimamo wetu wafuasi wengi wa CHADEMA ni kuwa hakuna kushiriki bunge la wezi wa kura, na wamwaga damu fullstop.
Exactly Chadema sikieni na zingatieni hili napigia mstari , hatutaki chama chetu kushirikiana na wauaji , watekaji , waporaji na wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu .
 
Ni mpumbavu pekee ambaye hakuona wizi wa kura na hujuma zilizofanyika.
Tuliokuwa wasimamizi wa uchaguzi tumeshuhudia kwa macho kura zikijazwa bila kuhesabiwa kwenye fomu za matokeo tena kwa mtutu wa bunduki
Halafu ukasaini na form kabisa. CDM imeeingia Kwenye uchaguzi ikiwa dhoofu ilihali ruzuku wanakula watu watatu pale ufipa .msingi wa chama huku chini umekufa kabisa , ni mpumbavu kama wew ndo unavyoweza kuwa cdm ungeweze kushinda hata majimbo matatu .mbowe hata hapa bomangombe mikutano yake ilikuwa Inahudhuriwa na watu wasiopungua 40
 
CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni.

Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha.

Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo mkubwa wa kiichumi.

Hakuna nchi iliyofanikiwa kuvuka vikwazo bila kuomba poo na kurudi kwenye meza ya maridhiano,hata hao wanaosema tunaweza, kuishi bila wao,wanajisahaulisha.wafuatilie historia ya Rais wa Nicaraguay.

Mmebakiza kujipa faraja

Hivi hamjamuelewa tu?

He dont care
 
Halafu ukasaini na form kabisa. CDM imeeingia Kwenye uchaguzi ikiwa dhoofu ilihali ruzuku wanakula watu watatu pale ufipa .msingi wa chama huku chini umekufa kabisa , ni mpumbavu kama wew ndo unavyoweza kuwa cdm ungeweze kushinda hata majimbo matatu .mbowe hata hapa bomangombe mikutano yake ilikuwa Inahudhuriwa na watu wasiopungua 40

Ilikuwa haina pumzi
 
Wasipeleke ni faida zaidi
Wakipeleka wategemee wengi kugeuzwa mamluki.
 
Back
Top Bottom