Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Eti yule aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Mashinji naye ni Deep state
Namdharau sana Kayafa, Hana akili kabisa. Kwa hiyo Nkasi na Mtwara Vijijini hawana haki ya kula keki ya Taifa? Je huko serikali haikusanyi Kodi?Waachwe ccm wenyewe watuletee maendeleo. Maana wanasema kila mahapa penye mbunge, diwani wa ccm tutapata maendeleo basi wawaache wasiwasumbue ccm watuletee maendeleo ambayo wameshindwa kuyaleta kwa miaka 60.
Naunga mkono hojaWakiacha kupeleka majina bungeni, uchaguzi unaokuja watapata wabunge wengi zaidi tena kwa msaada hata wa ccm wenyewe.
Ndugu yangu wewe,mahaba yasikupelekeshe sisis wote ni watanzania na kilichotokea kinaeleweka kwa kila mmoja....kilichotokea ni kwamba pamoja na kuja na kura feki sehemu nyingine waliambiwa zile. Karatasi za kura hazitakiwi kubaki ivyo baada ya zoezi kilichofuata ni kutiki kura zoote zilizobaki kwenda CCM,na ilikua amri na siyo Ombi.sasa ukisema watu sijui waongo unakosea sana,itoshe tu kusema Akili mwaka huu haijatumika kama zinavyotum8kaga miaka mingine.Kama kuna mbunge Yeyote wa "saccos" aliyeshindwa kwa kura za maruhani anaruhusiwa kwenda mahakamani, mbona hawaendi?? Na wazi wameshindwa kihalali ndio maana wamekaa kimya na kuishia kufunga cinema na kura wanazodai ni za "Raisi" ambazo ni "fake", mbona na si za "ubunge"
Tunaenda kuishi kama Ulaya.Namdharau sana Kayafa, Hana akili kabisa. Kwa hiyo Nkasi na Mtwara Vijijini hawana haki ya kula keki ya Taifa? Je huko serikali haikusanyi Kodi?
Hapakuwa na uchaguzi kulikuwa na vita tupuNdugu yangu wewe,mahaba yasikupelekeshe sisis wote ni watanzania na kilichotokea kinaeleweka kwa kila mmoja....kilichotokea ni kwamba pamoja na kuja na kura feki sehemu nyingine waliambiwa zile.karatasi za kura hazitakiwi kubaki ivyo baada ya zoezi kilichofuata ni kutiki kura zoote zilizobaki kwenda CCM,na ilikua amri na siyo Ombi.sasa ukisema watu sijui waongo unakosea sana,itoshe tu kusema Akili mwaka huu haijatumika kama zinavyotum8kaga miaka mingine.
Sent from my SM-A9000 using JamiiForums mobile app
KarefoniyaTunaenda kuishi kama Urayaaaaaa
Kabisa mkuuKarefoniya
Wazazi wako Ndio wanaopata haja kubwa mdomoni Ndio wamekuambukiza wewe, na weww kwa uelewe wako mdogo unafikiria kila mtu yupo hivyo .Hivi unapatia haja kubwa mdomoni?
Mbona unaandika kitoto?Ndugu yangu wewe,mahaba yasikupelekeshe sisis wote ni watanzania na kilichotokea kinaeleweka kwa kila mmoja....kilichotokea ni kwamba pamoja na kuja na kura feki sehemu nyingine waliambiwa zile.karatasi za kura hazitakiwi kubaki ivyo baada ya zoezi kilichofuata ni kutiki kura zoote zilizobaki kwenda CCM,na ilikua amri na siyo Ombi.sasa ukisema watu sijui waongo unakosea sana,itoshe tu kusema Akili mwaka huu haijatumika kama zinavyotum8kaga miaka mingine.
Sent from my SM-A9000 using JamiiForums mobile app
Msimamo wa "saccos" ni kwamba ring leaders wasikose mkate wao wakikosa wao wa Tz wote au wapenzi wa saccos hawajapata mkate wao.MSIMAMO wa CHADEMA HUKUKUWA na UCHAGUZI HAKUNA UBUNGE.
anaetaka vyeo akaunge mkono juhudi.