CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

Waachwe ccm wenyewe watuletee maendeleo. Maana wanasema kila mahapa penye mbunge, diwani wa ccm tutapata maendeleo basi wawaache wasiwasumbue ccm watuletee maendeleo ambayo wameshindwa kuyaleta kwa miaka 60.
Namdharau sana Kayafa, Hana akili kabisa. Kwa hiyo Nkasi na Mtwara Vijijini hawana haki ya kula keki ya Taifa? Je huko serikali haikusanyi Kodi?
 
Ndugu yangu wewe,mahaba yasikupelekeshe sisis wote ni watanzania na kilichotokea kinaeleweka kwa kila mmoja....kilichotokea ni kwamba pamoja na kuja na kura feki sehemu nyingine waliambiwa zile. Karatasi za kura hazitakiwi kubaki ivyo baada ya zoezi kilichofuata ni kutiki kura zoote zilizobaki kwenda CCM,na ilikua amri na siyo Ombi.sasa ukisema watu sijui waongo unakosea sana,itoshe tu kusema Akili mwaka huu haijatumika kama zinavyotum8kaga miaka mingine.

Sent from my SM-A9000 using JamiiForums mobile app
 
Hapakuwa na uchaguzi kulikuwa na vita tupu
 
Inawezekana wasipeleke hao wabunge wasio na jimbo tatizo linakuja kuna baadhi wana njaa na kiu kubwa sana, kuwa nje ya bunge anaona kifo kipo njiani as kesho tu anaaga dunia.
 
Hivi unapatia haja kubwa mdomoni?
Wazazi wako Ndio wanaopata haja kubwa mdomoni Ndio wamekuambukiza wewe, na weww kwa uelewe wako mdogo unafikiria kila mtu yupo hivyo .
Pole
 
Mbona unaandika kitoto?
Cha kwanza waliopiga kura ni kama asilimia 50 ya wapiga kura sasa hizo kura zilizo baki ni zipi ?? Ikiwa hizo zilizobaki zilipigwa tick
Halafu kuna mashahidi wa Vyama, na hata hao wafanyakazi wa NEC sio kwamba wote ni wapenzi wa CCM, au Polisi wote, na mwisho unaushahidi wowote au ndio ndoto kama za "Trump" wa ukerewe anayeulizwa ushahidi hana
 
Kwahiyo nchi ikipewa vikwazo wataumia wao wenyewe au mpaka wewe na familia yako.
 
Msimamo wa CHADEMA; Hakukua na uchaguzi na hakuna Ubunge.
anaetaka vyeo akaunge mkono juhudi.
 
Pelekeni wabunge acheni kulialia. CHADEMA mnaonekana kujua kila kitu lakini mwisho wa siku mwenye nguvu mnampisha anafanya yake. Kama hivyo viti maalum vimetolewa pelekeni majina haraka, acheni kulialia haya pia ni maendeleo ya watu acheni kutuna wakati mbavu zenu zinaminywa.
 
MSIMAMO wa CHADEMA HUKUKUWA na UCHAGUZI HAKUNA UBUNGE.
anaetaka vyeo akaunge mkono juhudi.
Msimamo wa "saccos" ni kwamba ring leaders wasikose mkate wao wakikosa wao wa Tz wote au wapenzi wa saccos hawajapata mkate wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…