Wanajifanya wanataka maendeleo ya watu kisha wanayazuia kwa watu hayo maendeleo, wabunge kumi nakitu kuwanyima mapatao ni kuwapa unasikini watu, sasa hapo falisafa yao sijui ni ipi?Pelekeni wabunge acheni kulialia. CHADEMA mnaonekana kujua kila kitu lakini mwisho wa siku mwenye nguvu mnampisha anafanya yake. Kama hivyo viti maalum vimetolewa pelekeni majina haraka, acheni kulialia haya pia ni maendeleo ya watu acheni kutuna wakati mbavu zenu zinaminywa.
Mahakama ya awamu ya Jiwe limekuwa ni tawi jingine la CCM, kwenda mahakama hii kuishitaki serikali ya jiwe au taasisi zake kwa kitu ambacho behind the scene Jiwe ndiye ngineer mkuu ni sawa na kesi ya tumbili umpelekee nyani. Ni kupoteza muda!Kama kuna mbunge Yeyote wa "saccos" aliyeshindwa kwa kura za maruhani anaruhusiwa kwenda mahakamani, mbona hawaendi?? Na wazi wameshindwa kihalali ndio maana wamekaa kimya na kuishia kufunga cinema na kura wanazodai ni za "Raisi" ambazo ni "fake", mbona na si za "ubunge"
Dah! kulikuwa na vituo 38,000 nchi nzima,vikihudumiwa na wastani wa watu 8. Hivyo kufanya jumla yao kuwa 300,000, kwa idadi hii ya watu(sample) ukitilia maanani vigezo vyao kama walifanya hilo jambo.m kiutafiti tunasema hilo jambo limefanywa na watanzania wote [emoji2960]Ndugu yangu wewe,mahaba yasikupelekeshe sisis wote ni watanzania na kilichotokea kinaeleweka kwa kila mmoja....kilichotokea ni kwamba pamoja na kuja na kura feki sehemu nyingine waliambiwa zile.karatasi za kura hazitakiwi kubaki ivyo baada ya zoezi kilichofuata ni kutiki kura zoote zilizobaki kwenda CCM,na ilikua amri na siyo Ombi.sasa ukisema watu sijui waongo unakosea sana,itoshe tu kusema Akili mwaka huu haijatumika kama zinavyotum8kaga miaka mingine.
Sent from my SM-A9000 using JamiiForums mobile app
daaah! CHADEMA Lissu kawaingiza cha kike tena kilichojaa sasa mbunge mmoja kutoka 50+ kichekeshoChadema imebaki kuwa TLP iliyochangamka! Laana ya Lissu kumtukana Nyerere, kakuta wabunge 50+ wa majimbo, kaacha mmoja afu huyooo kaenda kula bata ubelgiji! Chadema waliingia cha kike!
Wanashangaza,wamehakikisha CDM haipati Madiwani,Wabunge au Wawakilishi na Urais nchi nzima.Leo wanalazimishwa kuteua wabunge wa viti maalum,hayo siyo maajabu?Kwa nini upendo/huruma za ghafla?Waachwe ccm wenyewe watuletee maendeleo. Maana wanasema kila mahapa penye mbunge, diwani wa ccm tutapata maendeleo basi wawaache wasiwasumbue ccm watuletee maendeleo ambayo wameshindwa kuyaleta kwa miaka 60.
Ni mawazo au ndoto zako, andika kitu kilicho na uhalisia lakini kama ni muendelezo wa siasa au movie za "saccos" endeleeni tu. Movie after movie , ya " ya Yule rafiki yetu wa USA" tunayaonaMahakama ya awamu ya Jiwe limekuwa ni tawi jingine la CCM, kwenda mahakama hii kuishitaki serikali ya jiwe au taasisi zake kwa kitu ambacho behind the scene Jiwe ndiye ngineer mkuu ni sawa na kesi ya tumbili umpelekee nyani. Ni kupoteza muda!
Saccos hazishiriki uchaguzi mkuu na kuibiwa kura!Ni mawazo au ndoto zako, andika kitu kilicho na uhalisia lakini kama ni muendelezo wa siasa au movie za "saccos" endeleeni tu. Movie after movie , ya " ya Yule rafiki yetu wa USA" tunayaona
Ccm fanyeni kazi bila wapinzani ili msiwe na kisingizio cha ukwamisho wa maendeleo
Kweli Kabisa Mkuu.Kupeleka wabunge kwenye bunge la CCM lililojaa damu za waTz ni sawa na kupokea offer toka kwa mgoni wako
Mbinu iliyobaki ni vikwazo huku tunapiga jeramba msituni tu, hakuna nyingine kwa utawala huu wa CCMNakuelewa, lakini ujue siyo kwamba nakubali dhuluma! Mimi natoa ushauri tu kwamba ninyi majembe kwasababu kuna hizi fursa chache muende kule mkakwamishe hata jambo moja tu baya walilo kusudia. Alafu tuunge juhudi ‘kinafiki’ kama wao lakini kwa malengo! Hizi njia zetu zimebuma, tuwapige kwa game yao!
Tuwekeze kwenye taasisi zote nyeti! Kwa wananchi, people’s power, CHADEMA ni msingi, sijui oparesheni gani hayujafanya?! Tubadili mbinu!!
Saccos hazishiriki uchaguzi mkuu na kuibiwa kura!
CCM ilichobaki nacho ni TISS, NEC na Majeshi. Ndivyo vyombo vinavyoisimika CCM madarakani kwa sasa. Nje ya hapo wananchi walishaikataa kitambo sana.
Sasa hivi CCM imetupelekea bungeni watu waliotoa rushwa kwenye kura za maoni ndani ya chama chao, kisha ikawasaidia kuwaibia kura washinde uchaguzi mkuu. Kiufupi tuna Wabunge tunda la Corruption huko bungeni, Hakuna bunge pale tuna genge la wajanja wajanja wa mjini tu wasio na faida yoyote kwa Taifa!
Ukiona Hivyo Basi Kuna Shida Kwa Mkuu.Mambo Hayako sawa, watu Hawajaridhika.Kama kuna mbunge Yeyote wa "saccos" aliyeshindwa kwa kura za maruhani anaruhusiwa kwenda mahakamani, mbona hawaendi?? Na wazi wameshindwa kihalali ndio maana wamekaa kimya na kuishia kufunga cinema na kura wanazodai ni za "Raisi" ambazo ni "fake", mbona na si za "ubunge"
Kuna PS mmoja aliwahi niambia serikali hii ya Jiwe inaendeshwa kwa "sandakalawe".Kuna huu msemo think twice before you act. Jiwe na genge lake wanaendesha maisha yao kwa kubahatisha bahatisha. Sijui kwasababu ya ugali wa bure wanaoshindilia magogoni?. It'll come a time very soon the free bread they are getting they will have to work for it. Hapo Akili ndipo itafunguka na walivyo hawana aibu wanaweza hata kwenda Burkina Faso ama central African Republic na Haiti kukopa hela
Mimi hiki ndicho kitu waga siamini kabisa, eti mkichagua wabunge wa chama tawala mtapata maendeleo, huo ni uongo mtupu.huyo Aida wa Nkasi aunge tela huko huko CCM laasivyo atawagharimu wananchi wa Nkasi maana atatumika kama chambo kwa serikali kumtolea mfano, maana majimbo mengine yatapewa maendeleo kasoro lake ili uchaguzi ujao wapate cha kusema!!
Mbona unaonekana unaumia kwa CDM kutopeleka wabunge!? Si mmeongea sana kwenye kampeni kwamba hamtaki kuchanganyiwa, hampendi wapinga maendeleo. Jadilini maendeleo ya nchi Bungeni mkiwa wa kijani pekee ili mtuletee maendeleo kwa kasi kama mlivyoahidi. Hawa wa vyama vingine waliowarudisha nyuma miaka mingi ambao hata hivyo viti maalumu vimepatikana kwa bahati tu, waacheni wafanye mambo mengine. Kama nia yenu ingelikua ni hiyo "njema" unayotaka kuonesha hapo, engua engua za hovyo kabisa zilkua za nini??. Jadilini mijadala bila wapinzani mlete maendeleo.Nakuelewa, lakini ujue siyo kwamba nakubali dhuluma! Mimi natoa ushauri tu kwamba ninyi majembe kwasababu kuna hizi fursa chache muende kule mkakwamishe hata jambo moja tu baya walilo kusudia. Alafu tuunge juhudi ‘kinafiki’ kama wao lakini kwa malengo! Hizi njia zetu zimebuma, tuwapige kwa game yao!
Tuwekeze kwenye taasisi zote nyeti! Kwa wananchi, people’s power, CHADEMA ni msingi, sijui oparesheni gani hayujafanya?! Tubadili mbinu!!